Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

Kabisaaaah
Kashindwa kukaa na kanisa,
Tukajua nyege mshindo,
Kaoa mara 2 kashindwa,

Eti tumpe nchi! Akafie mbali

Bora tusimamishe mgomba kama mgombea, kama hatuna watu, kuliko huyu Slaa! Ukizingatia uraisi ni taasisi!
2015 mlishamsimamisha bora liende,naye alikaa Pembeni so hatushangai mpo radhi asimamishwe fisadi Ili tu roho zenu zisuuzike.
 
Alishindwa kuheshimu kiapo cha upadri ataheshimu Katiba ya nchi? Huyo Mzee kwa sasa hana tofauti na Cyprian Musiba, ni mropokaji tu
Wewe mfia chama nani atakuskiliza wakati ulitumbukiza kura yako KWA mafisadi
 
Mbona Magufuli alimnunua Polepole na kumbadili kutoka uwanaharakati wa Katiba na kimfanya MJINGA kama alivyokuwa mwenyewe Magufuli
Unakubali polepole amenunuliwa,ila hutaki kuambiwa mbowe na chama/genge lake walinunuliwa na Mafisadi 2015!

Mkiambiwa nyinyi ni nyumbu na mma siasa za maji taka mtakataa,nyinyi na ccm na ndugu zenu ACT lenu Moja tu
 
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;

Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)

BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.

Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Mkuu nakuunga mkono kwa asilimia 100 na ushee, tena agombee kupitia chama kipya cha Umoja, kule Chadema bado kuna wasanii kibao akina mr Culture na mbelgiji
 
Acha uongo wa mchana, nani CCM B?. Leo unaita chadema CCM B kisa Dr Slaa anaisema, unasahau kwamba kikwazo Cha CCM na serikali yake Ni CHADEMA. Umesahau magumu ambayo CHADEMA wamepitia mikononi mwa CCM mpaka kuvurugwa kwa uchaguzi na viongozwi kushambuliwa na wengine kufunguliwa kesi za uongo. Kama hulijui hilo, basi unastahili kudanganywa na Dr Slaa, ni haki yako.

Mimi sio mfia chama ndugu, ila siipendi CCM tangu nakuwa mpaka Leo nimekuwa mzee. Muhuni atakufundishaje siasa sio uhuni?. Acha uongo, Slaa anatumia chadema ili apate uhalali wa kuingia UMoja Party.
Chadema hii ya 2015 onward haijawahi kua kikwazo cha fisiemu,ni waigizaji wenzenu hao na wote mna historia iliyotukuka ya kumiliki wanachama ngazi ya juu tena mliowatuhumu kwa ufisadi,kumbuka ndege wafananao huruka pamoja.
 
Napendekeza apeperushe bendera ya CCM kwenye Urais 2025 - Babu mihogo bado ana madini mengi sana atatusaidia.
We kweli huelewi lolote,upoupo tu.

Dr.slaa Kisha sema na ipo wazi,mafisadi wameanza kurudi KWA kasi.Au upo Burundi nn
 
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;

Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)

BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.

Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Safari hii kajionyesha kuwa ni muongo na mnafiki..... Hilo halina ubishi.
 
Mbona Dr Slaa hastahili hizo sifa. Maana alikuwa padri akakimbia akaenda kuzini na mwanamke. Alikuwa CCM akakimbilia upinzani Tena akarudi CCM Tena anataka kutoka CCM arudi upinzani. Pia usisahau aliunga mkono rasimu ya Warioba leo anaiponda, huyo ndio unamhitaji bure kabisa. Ndio maana yule hawala yake alimkimbia Mona kwa moja.
Ndo vijana type ya ccm/Chadema mliopo kisifu na kuabudu viongozi wenu(WAFIA VYAMA)

We unajua kwann alitoka ccm?,ushawahi sikia karudi ccm?
 
We kweli huelewi lolote,upoupo tu.

Dr.slaa Kisha sema na ipo wazi,mafisadi wameanza kurudi KWA kasi.Au upo Burundi nn
we hujui kwamba tunajenga CCM mpya... hujui kwamba hii nchi imechezewa na kuharibiwa vibaya.

DR. Slaa ni muhimu kuwa ndani ya timu ya CCM.
 
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;

Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)

BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.

Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Halafu mtu makini akishapitia kwenye cadre ya Utumishi wa Mungu! Watu hawa huwa wana qualities nzuri mno na za kipekee sana.

Kuna mwingine mmoja aliwahi kuwepo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; yeye alikuwa ni Padre halafu Professor
 
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;

Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)

BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.

Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Silaa huyu huyu aliyesema katiba mpya sio hitaji la wananchi? Sawa hupo sahihi kueleza kile unachokifikiria na huu ndio uhuru wa maoni.
Kuna mwingine kama wewe alisemaga baada y Magufuli, Makonda ndiye anayefaa kumpokea kijiti maana ana uthubutu kama wa Magufuli. Tunashukjru kwa mawazo yenu
 
Ingefaa umoja party wamchukue awe mgombea wao
 
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;

Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)

BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.

Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Kwa sifa zipi yule Ni untrustworthy. Alivunja kiapo Cha Mungu Cha ukasisi, uami ifu anautoa waaoi? Watanzania mmelogwa!
 
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;

Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)

BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.

Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Piga mswaki na dawa maana Mdomo wako unanuka sana
 
mtafutie mke kwanza
 
Back
Top Bottom