kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
DahMwache mzee apumzike chadema isingejulikana bila ya slaa!
Laana anayo yeye kahongwa visenti plus ubalozi,utawala uliojaa mauaji n damu ni laana,ndio mana wabunge wenu waligombea maiti arushaMwachani babu wa watu apumzike sababu ya kuachana na siasa inajulikana.
Yeye alijua wanafanya siasa ili nchi yetu iende katika muelekeo sahihi kumbe alikuwa amezungukwa na matapeli wa kisiasa wazee wa kuchenji gia angani.
Na laana aliyomuachia Mbowe na Chadema yake sijui kama watafanikiwa tena.
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.
Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?
Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?
Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.
Mi naona una msingizia Dr Slaa. Haku kimbia kwa ahadi ya ubalozi.Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.
Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?
Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?
Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.
Yeye ndio ana LAANA ya kulisaliti Kanisa Mke na WatotoMwachani babu wa watu apumzike sababu ya kuachana na siasa inajulikana.
Yeye alijua wanafanya siasa ili nchi yetu iende katika muelekeo sahihi kumbe alikuwa amezungukwa na matapeli wa kisiasa wazee wa kuchenji gia angani.
Na laana aliyomuachia Mbowe na Chadema yake sijui kama watafanikiwa tena.
Hiyo ni sili ya maisha anaejua ukweli hapo ni yeye na Mungu wakeYeye ndio ana LAANA ya kulisaliti Kanisa Mke na Watoto
Mbona alikubali kutumika na maharuni shetwaanMwachani babu wa watu apumzike sababu ya kuachana na siasa inajulikana.
Yeye alijua wanafanya siasa ili nchi yetu iende katika muelekeo sahihi kumbe alikuwa amezungukwa na matapeli wa kisiasa wazee wa kuchenji gia angani.
Na laana aliyomuachia Mbowe na Chadema yake sijui kama watafanikiwa tena.
Kuna nini!
Ajiandae kustaafu siasa amejimaliza mwenyewe maana kuna vijana wameshaapishwa kuwa mabalozi. Mmoja ya watu wanaotakiwa kuru nahisi nae yumo.Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.
Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?
Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?
Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.
Mlichobakiwa nacho nyinyi CDM ni chuki na majungu tuAjiandae kustaafu siasa amejimaliza mwenyewe maana kuna vijana wameshaapishwa kuwa mabalozi. Mmoja ya watu wanaotakiwa kuru nahisi nae yumo.
Na akirudi Hana forum ndani ya CCM na huko alikokimbia Hana forum. Ajizeekee tu alee wajukuu sasa.