Dkt. Slaa ulisahau nini huko CHADEMA?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Huyu mzee kweli ni oppurtunist. Alishachaguliwa kuwa Balozi wetu huko Sweden, na alichaguliwa na serikali ya CCM.

Sasa tunamuona tena, mdomo juu, kakimbilia CHADEMA na magwanda yake. Kiapo chake cha utii kwa Serikali ya CCM kiliisha lini?

Na kasahau kitu gani huko CHADEMA?


 

Attachments

  • images.jpeg.jpg
    24 KB · Views: 7
Nafasi ya balozi haimo kwenye chama, balozi ni mtendaji wa Serikali na huteuliwa na Rais ambaye ni mtendaji wa serikali. Balozi anapokuwa kwenye nchi anayotuwakilisha hafanyi mambo ya siasa, isipokuwa balozi wa China ambao huwa wanakawaida ya kutotii sheria za nchi husika, kwahiyo ujue hakuenda kuiwakilisha CCM, alikwenda kuiwakilisha Tanzania.
 
Utachanganyikiwa mshikiwa akili kama wewe! Ulihoji Lowasa anafanya nini Chadema? Sumaye? Kuna CCM kuliko hao? Mlibeba hadi wahuni ambao huko CCM wenyewe waliowaona ni takataka lakini mlishangilia leo mnajifanya mna uchungu na Chadema kuliko Dr Slaa!

Ninavyoelewa kuna movement inaendelea kukusanya nguvu ya kudai katiba na Dr Slaa ni moja ya silaha. Wataibuka wengi ambao hata si Chadema lakini kwa kazi hiyo tu. Kwenye katiba ni rahisi Dr Slaa kusimama na Chadema kuliko upande mwingine.

Kwenye katiba hata mimi nitasimama na Chadema na sina kadi ya chama chochote! Ni issue ya kupigania future ya Taifa langu sio uvyama wenu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nilimsikia akisema Hana chama,

Anajiita saiz PROFESSOR wa Siasa.

Hata mkutano wa CCM aweza enda toa ushauri.
 
Hongera sana member. Mchango mkubwa sana huu

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Lakini anakula kiapo kwa Serikali ya chama kilichopo madarakani.
Period.
 
Dkt. Slaa si icon ya Katiba Mpya, na usijichanganye kwa hilo.
Kama kuna mtu kateseka na Katiba Mpya miaka nenda rudi ni Freeman Mbowe, unaweza mtazama usoni Freeman na ukasema huyu ni mpinzani wa kweli, mwenye substance.
Sasa vimamluki vya kuonja asali ubalozini, muda ukiisha na hana asali anarudi kuwaghilibu akili vijana.
HYPOCRITES!!!!
 
Once Chadema always Chadema. Ile imani ya Chadema ni kama umelogwa vile.

Hata akina Joshua Nasari na akina Waitara ni basi tu wale ni Chadema watupu
 

Lakini kama CHADEMA iliweza kumsamehe Lowassa makosa yake na kutaka kumfanya Rais, hata Dr. Slaa anasameheka. Alilamba asali, asali imeisha na wote tunafahamu madhara ya asali.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huu Mzee ni mnafiki sana. Aidha anaendeshwa na tamaa za uongozi au ana chuki rais Samia.
 
Utachanganyikiwa mshikiwa akili kama wewe! Ulihoji Lowasa anafanya nini Chadema? Sumaye? Kuna CCM kuliko hao? Mlibeba hadi wahuni ambao huko CCM wenyewe waliowaona ni takataka lakini mlishangilia leo mnajifanya mna uchungu na Chadema kuliko Dr Slaa!
Kinachowaumiza hawa wahuni mpaka leo ni kuikosa nguvu ya Dr Slaa mwaka 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…