Niambie balozi mmoja tu wa TZ ambaye si CCMNafasi ya balozi haoimo kwenye chama, balozi ni mtendaji wa serikali na huteuliwa na rais ambaye ni mtendaji wa serikali. Balozi anapokuwa kwenye nchi anayotuwakilisha hafanyi mambo ya siasa, isipokuwa balozi wa China ambao huwa wanakawaida ya kutotii sheria za nchi husika, kwahiyo ujue hskuenda kuiwakilisha CCM, alikwenda kuiwakilisha Tanzania.
Tuliosoma kule,tumekuelewa.Ma Padre wengi duniani ni wale wale.
Yaani hapa namaanisha ni,..?
Exactly my pointBinafsi na amini huyu hapo yuko kazini
Kwa hiyo wote hawa walinunuliwa na hela ya Dr Bashiru Kakurwa?Once Chadema always Chadema. Ile imani ya Chadema ni kama umelogwa vile.
Hata akina Joshua Nasari na akina Waitara ni basi tu wale ni Chadema watupu
Tupo wengi wa aina Yako tunaounganishwa na course ya KATIBA mpya.Utachanganyikiwa mshikiwa akili kama wewe! Ulihoji Lowasa anafanya nini Chadema? Sumaye? Kuna CCM kuliko hao? Mlibeba hadi wahuni ambao huko CCM wenyewe waliowaona ni takataka lakini mlishangilia leo mnajifanya mna uchungu na Chadema kuliko Dr Slaa!
Ninavyoelewa kuna movement inaendelea kukusanya nguvu ya kudai katiba na Dr Slaa ni moja ya silaha. Wataibuka wengi ambao hata si Chadema lakini kwa kazi hiyo tu. Kwenye katiba ni rahisi Dr Slaa kusimama na Chadema kuliko upande mwingine.
Kwenye katiba hata mimi nitasimama na Chadema na sina kadi ya chama chochote! Ni issue ya kupigania future ya Taifa langu sio uvyama wenu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
No, KATIBA mpya ni move itokayo ktk Ule mhimili Magu aliouita umejichimbia chini zaidi.Kwa hiyo anawachora CHADEMA!
diniHuu Mzee ni mnafiki sana. Aidha anaendeshwa na tamaa za uongozi au ana chuki rais Samia.
Akili kichwani, anawapa tekniki 😀!.... kajiongeza anawaset CDM...
[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2533331
View attachment 2533342
Huyu mzee kweli ni oppurtunist.
Alishachaguliwa kuwa Balozi wetu hukoCanadaSweden, na alichaguliwa na serikali ya CCM.
Sasa tunamuona tena, mdomo juu, kakimbilia CHADEMA na magwanda yake.
Kiapo chake cha utii kwa serikali ya CCM kiliisha lini?
Na kasahau kitu gani huko CHADEMA!
Ha hebu ujidhihirishe we ni CDM uone kama utapewa huo ubalozi. Ubalozi = Ukada!Nafasi ya balozi haoimo kwenye chama, balozi ni mtendaji wa serikali na huteuliwa na rais ambaye ni mtendaji wa serikali. Balozi anapokuwa kwenye nchi anayotuwakilisha hafanyi mambo ya siasa, isipokuwa balozi wa China ambao huwa wanakawaida ya kutotii sheria za nchi husika, kwahiyo ujue hskuenda kuiwakilisha CCM, alikwenda kuiwakilisha Tanzania.
Mkuu hoja sahihi huwasilishwa kwa lugha sahihi,tuache hizi mentality za mradi umeelewa au mradi tunaelewana.Mkuu geniuses and Great Thinkers can read even upside down, lete mchango.
Dr Slaa kachemsha
Ngoja nione kama Lisu atasimama Jukwaa Moja na huyu Babu Mihogo.Et alidai ndani ya CDM kulokuwa na watekaji,alikuwa rafiki wa Jiwe mkubwa,Mama kampiga chini na yeye kajiongeza anawaset CDM.Njaa mbaya sana.
Huyu elvischirwa anatakiwa kuwa ameelewa vizuri hilo kutokana na exposure yake humu JF.Ha hebu ujidhihirishe we ni CDM uone kama utapewa huo ubalozi. Ubalozi = Ukada!
Mapambo ya kivita yanakiasi chake yakizidi imatafsiriwa ni uoga ndyo huyo mzee alipoona wenzake wapo katikati ya mapambano akasepa kwa uoga na tamaa hafai.View attachment 2533331
View attachment 2533342
Huyu mzee kweli ni oppurtunist.
Alishachaguliwa kuwa Balozi wetu hukoCanadaSweden, na alichaguliwa na serikali ya CCM.
Sasa tunamuona tena, mdomo juu, kakimbilia CHADEMA na magwanda yake.
Kiapo chake cha utii kwa serikali ya CCM kiliisha lini?
Na kasahau kitu gani huko CHADEMA!
... sahihi; Canada ilikuwa kuuza mihogo.Kumekucha..ilikuwa Sweden na sio Canada