Dkt. Slaa yuko korokoroni kwa kumtetea Lissu, halafu Lissu anasema aliyemleta Lowassa na kuiua Chadema siyo Mbowe ni Dkt. Slaa. Lissu ni next Level

Kwa all intents and purposes New Palace Hotel ilijulikana kama ya wakina Mbowe. Kuwa walikuwa wapangaji ni semantics.

Amandla...
Ilijulikana na Nani?

Mbowe kabebwa sana na Edwin kwa sababu ya Bint yake Lilian tu

Otherwise ni dalali kama hao wengine wa hapo Samora ๐Ÿผ
 
Ilijulikana na Nani?

Mbowe kabebwa sana na Edwin kwa sababu ya Bint yake Lilian tu

Otherwise ni dalali kama hao wengine wa hapo Samora ๐Ÿผ
Na watu kama sisi. Mtei anahusika vipi na New Palace Hotel?

Dalali si mfanyabiashara? Kwa nini unawabeza?

Amandla...
 
Uzuri wa lissu ni ukweli sio blah blah, kwake uwazi na ukweli ndo silaha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ