DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
“JWTZ hupokea amri toka kwa Amri Jeshi Mkuu na si vinginevyo. JWTZ ni Chombo mahususi kwa shughuli mahususi, tuendelee kuliamini, kulipa uhuru na kuliwezesha kutekeleza majukumu yake bila kuingiliwa,” amesema Dkt Stergomena Lawrence Tax, Waziri wa Ulinzi na JKT, wakati akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara tarehe 20 Mei, 2025.