LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kwani we ulizaliwa lini kiasi kwamba usijue kwa nini mzee ruksa aliitwa hivyo?Siwezi kukubishia ndiyo maana nimesema ninavyojua mimi na hayo unayoyajua wewe ni yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani we ulizaliwa lini kiasi kwamba usijue kwa nini mzee ruksa aliitwa hivyo?Siwezi kukubishia ndiyo maana nimesema ninavyojua mimi na hayo unayoyajua wewe ni yako.
wako mitandaoni wanajaza watu pumba huko. Huyu jamaa huwa anajafanya ni mjuaji wa mambo na amewadanganya pakubwa jamii yake huwa inamsikiliza na kumuamini anachosemaHuwa mnapata wap muda wa kuwasikiliza watu kama hawa?...wanapatikana channel gan
Ni kweli alichosema, nikiikumbuja Ile hutuba huwa nacheka, kwani Mwinyi alifoka kweli na jinsi alivyokuwa akitamka 'ruksaa', ilifurahisha!Nimeona clip moja ya Sheikh mwanaharakati, Dr Sulle akisema watu wengi hawajui au wanapotosha hayati Rais Mwinyi kuitwa Mzee Ruksa.
Akitoa historia fupi Dr Sulle anasema mwaka 1993 kulitokea vurugu kubwa Dar es Salaam baada ya msichana mmoja wa Kiislamu aliyetumwa kununua nyama kukosea na kwenda kununua kitimoto katika bucha mojawapo la Nguruwe lilikuwepo Tandale.
Baada ya habari hiyo kusambaa anasema walifanya vurugu kubwa iliyosababisha uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kutishia amani. Ndipo hayati Rais Mwinyi alipohutubia taifa katika kutuliza hali kwa hekima na katika kuwafanya Wakristo na Waislamu waishi kwa pamoja kwa upendo baada ya kutoa nasaha nyingi akatamka katika hotuba yake nchi hii haina dini, kila mtu mwenye kutaka chake na ale, mwenye kutaka jongoo ale ruksa, mwenye kutaka panya ale ruksa, na hapo ndipo neno ruksa lilianzia.
Pamoja na hilo, Dr Sulle anasema pia Mwinyi ndiye baba wa mageuzi wa uchumi na siasa wa taifa hili na hakuna Rais aliyelitendea haki taifa hili kumzidi Mwinyi.
Mwanahistoria Mohamed Said ni kweli hayati Rais mwenye kuitwa Mzee Ruksa sio kutokana na yeye kuleta uhuru wa biashara na siasa nchini bali hilo neno liliibuka kutokana na vurugu zilizohusisha nguruwe Tandale?
ni mbishi balaa kwenye mambo ya dini, kwanza huo udokta kaupata chuo gani? Huo udokta utakuwa wa mchongo tu. Tuheshimu title za taaluma zilozosomewaHuyo jamaa huwa ana'arrogant yakuhisi he is master of all
Kuna siku anaelezea jambo alikuwa mahala kwamba ukirusha jiwe sehemu hiyo halidondoki..ni mbishi balaa kwenye mambo ya dini, kwanza huo udokta kaupata chuo gani? Huo udokta utakuwa wa mchongo tu. Tuheshimu title za taaluma zilozosomewa
Lakini hata kwa mtizamo wa kawaida tu unadhani ukikata moto leo bank umeacha 1bill zitakazozua balaa kwenye familia yako wakati wa kugawana huku wakati ulipokuwa hai ulikuwa unajua kabisa wapo watu wenye shida mbalimbali (orphan centers,wagonjwa mahospitalini ect) na uwezo wa kuwafikia ulikuwa nao na hukwenda unategemea sadaka yako uliyotoa msikitini au Kanisani imshawishi Mungu akupokee?Sule kwanza sio dokta. Then pia ana udhaifu flani hivi wa kuamini Kila alisemalo ndilo sahihi wakati Kwa namna flani huongea mitizamo tu.
Sule huigiza kwamba ni msomi mbobevu katika sayansi nk but si kweli.
Sule katika nasaha zake flani anasema huwezi kwenda peponi Kwa kutoka sadaka ya Tsh 3000 akimaanisha fedha hiyo n ndogo sana kumrudhisha mola mlezi. Wala huingii peponi Kwa kusalisali.
Wakati kiukweli uislam hausemi hivyo,
Swala la Ruksa na shekhe Mwinyi nisidanganye .
Sikuwepo
Ni kweli , Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!Mzee Pascal Mayalla wa kitimoto thibitisha hili....ikiwezekana tuelezee unayoyakumbuka.
Karibu..
JokaKuu
Bila shaka hili ni la Mangi wa Pale karibu na kwa hayati Mzee NdesaburoVurugu ilitokea kubwa sana soko la Tandale tena bucha yenyewe ilikuwa inaitwa "MBOKOMU".
Chanzo cha neno Ruksa ni hizo bucha za nguruwe,ila baada ya hapo ukawa ni msamiati wa kila alichoagiza kifanyike au kilichofanywa ktk awamu yake.Mimi ninachojua jina hilo limeanza pale aliporuhusu biashara huria wafanyabiashara waingize bidhaa zilizokuwa adimu kutokana na ukiritimba wa serikali wa kuhodhi kila kitu hali iliyofanya maisha ya wananchi kuwa magumu.
SahihiNimeona clip moja ya Sheikh mwanaharakati, Dr Sulle akisema watu wengi hawajui au wanapotosha hayati Rais Mwinyi kuitwa Mzee Ruksa.
Akitoa historia fupi Dr Sulle anasema mwaka 1993 kulitokea vurugu kubwa Dar es Salaam baada ya msichana mmoja wa Kiislamu aliyetumwa kununua nyama kukosea na kwenda kununua kitimoto katika bucha mojawapo la Nguruwe lilikuwepo Tandale.
Baada ya habari hiyo kusambaa anasema walifanya vurugu kubwa iliyosababisha uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kutishia amani. Ndipo hayati Rais Mwinyi alipohutubia taifa katika kutuliza hali kwa hekima na katika kuwafanya Wakristo na Waislamu waishi kwa pamoja kwa upendo baada ya kutoa nasaha nyingi akatamka katika hotuba yake nchi hii haina dini, kila mtu mwenye kutaka chake na ale, mwenye kutaka jongoo ale ruksa, mwenye kutaka panya ale ruksa, na hapo ndipo neno ruksa lilianzia.
Pamoja na hilo, Dr Sulle anasema pia Mwinyi ndiye baba wa mageuzi wa uchumi na siasa wa taifa hili na hakuna Rais aliyelitendea haki taifa hili kumzidi Mwinyi.
Mwanahistoria Mohamed Said ni kweli hayati Rais mwenye kuitwa Mzee Ruksa sio kutokana na yeye kuleta uhuru wa biashara na siasa nchini bali hilo neno liliibuka kutokana na vurugu zilizohusisha nguruwe Tandale?
huyo ni muongo na amewadanganya wajinga wengi wasio na elimuKuna siku anaelezea jambo alikuwa mahala kwamba ukirusha jiwe sehemu hiyo halidondoki..
Sasa hiyo mechaniam ya kisayansi yeye anasema ni allah quran.. alafu kashupaza shingo
Mbona P,alichelewa kutuamsha usingizini kwa maslahi ya Taifa😁Nimeona clip moja ya Sheikh mwanaharakati, Dr Sulle akisema watu wengi hawajui au wanapotosha hayati Rais Mwinyi kuitwa Mzee Ruksa.
Akitoa historia fupi Dr Sulle anasema mwaka 1993 kulitokea vurugu kubwa Dar es Salaam baada ya msichana mmoja wa Kiislamu aliyetumwa kununua nyama kukosea na kwenda kununua kitimoto katika bucha mojawapo la Nguruwe lilikuwepo Tandale.
Baada ya habari hiyo kusambaa anasema walifanya vurugu kubwa iliyosababisha uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kutishia amani. Ndipo hayati Rais Mwinyi alipohutubia taifa katika kutuliza hali kwa hekima na katika kuwafanya Wakristo na Waislamu waishi kwa pamoja kwa upendo baada ya kutoa nasaha nyingi akatamka katika hotuba yake nchi hii haina dini, kila mtu mwenye kutaka chake na ale, mwenye kutaka jongoo ale ruksa, mwenye kutaka panya ale ruksa, na hapo ndipo neno ruksa lilianzia.
Pamoja na hilo, Dr Sulle anasema pia Mwinyi ndiye baba wa mageuzi wa uchumi na siasa wa taifa hili na hakuna Rais aliyelitendea haki taifa hili kumzidi Mwinyi.
Mwanahistoria Mohamed Said ni kweli hayati Rais mwenye kuitwa Mzee Ruksa sio kutokana na yeye kuleta uhuru wa biashara na siasa nchini bali hilo neno liliibuka kutokana na vurugu zilizohusisha nguruwe Tandale?
Ruksa ilianza wakati akifungua mipaka ya nchi, ilikua mwaka 1986 kama sikosei Hiyo ‘Ruksa’ ya kipindi cha sakata la Nguruwe ilikuwa ni muendelezo wa ‘Ruksa’ kutoka ile ya Kiuchumi kwenda ‘Ruksa’ ya uhuru wa kuabudu. Tena nakumbuka aliwatolea mfano hadi wale wanaokula panya nao Ruksa. Hadi wwanaoabudu mizimu ‘Ruksa’.Nimeona clip moja ya Sheikh mwanaharakati, Dr Sulle akisema watu wengi hawajui au wanapotosha hayati Rais Mwinyi kuitwa Mzee Ruksa.