Mkuu unaongelea nini?Dr ******* tafadhali Tulia ofisini kitengo kina haribika, nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagers ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.
Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.
Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi
Maanara ya ISO sawa na kibanda cha chips.
Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional
Wakatabahu
Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moto wangu bila kuambiwa una shida gani.
Pole sana mkuu unaongea as if wote humu tunahidhuria hiyo clinic, weka wazi lengo lako la kuleta Uzi litimieDr ******* tafadhali Tulia ofisini kitengo kina haribika, nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagers ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.
Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.
Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi
Maanara ya ISO sawa na kibanda cha chips.
Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional
Wakatabahu
Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moto wangu bila kuambiwa una shida gani.
Wapi Huko daslamu?!!Dr ******* tafadhali Tulia ofisini kitengo kina haribika, nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagers ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.
Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.
Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi
Maabara ya ISO sawa na kibanda cha chips.
Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional
Wakatabahu
Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moto wangu bila kuambiwa una shida gani.
Credits: BabuFey
Kuna kipindi marehemu magu alimkataa balozi kutoka zambia,kwa sababu tu ya jina lake.Dkt. ******* tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.
Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.
Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi
Maabara ya ISO sawa na kibanda cha chips.
Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional
Wakatabahu
Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moto wangu bila kuambiwa una shida gani.
Akili za kuchambia ndito hiziTafuta hospital ya private ukafanye CT scan, itakusaidia
Samia effect 💩💩💩Umeshtuka Leo siku hizi office za umma nyingi zipo hvyo Wala husishangae
Hii ndiyo Tanzania familia ya kambale wote Wana ndevu vigumu kumtofautisha baba na mwana
Muhimbili ni hospitali ya serikali, ifike wakati sasa serikali iwafute kazi watumishi wazembe, hawa watumishi kwa makusudi tu wanaharibu huduma za hii hospitali, hawafanyi kazi kama inavyotakiwa, muda mwingi wako wanaangalia tamthilia huku wagonjwa wakiwa wamekaa hoi wakiwasubiri kumaliza kuangalia tamthilia zao. Hivi huu ni uungwana kweli?Dkt. ******* tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.
Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.
Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi
Maabara ya ISO sawa na kibanda cha chips.
Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional
Wakatabahu
Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moto wangu bila kuambiwa una shida gani.
Ukienda kutibiwa awamu ya kwanza sàa kumi na Moja asubuhi utatoka sàa tano mchana huku wahudumu wanafanya mizaha na ujuaji wa kijinga (isipokuwa na doctor) na kupoteza muda kwenye simu na soga ,.Mkuu unaongelea nini?
Please calm down!
Ana mambo ******* sana.Dr ******* kweli huyo