Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

Uwiii! Habari za huko Ugiriki umerudi lini? Baada ya wewe kuondoka huyu mama Tax aliteuliwa kuwa waziri wa ulinzi, yeye kampuni yake haina pingu.
 
Jamii Forums imejaa mizuzu inajadili mamno bila kufikiri, yenyewe kila jambo liwe sawa au limekosewa ni sawa tu!
Uhamiaji haihusiani na jeshi la ulinzi, iko mambo ya ndani na ina waziri wake.
 
Wakimbizi ni watu gani!?
Ni hali yeyote ile inayomsibu Binadamu/wanyama Wapya/wageni!! waliokimbia/kutoroka kutoka sehemu moja yeyote ile iwayo ya hatari kwa maisha yao kutoka ktk...
Mataifa yao husika
Familia/koo zao za kichawi, kufanyiwa tohara/ kuolewa wadada vigori bila ridhaa zao! kubakwa,kuchukiwa bila sababu, kuangaliwa sana ajili ya uzuri wako mpaka unahisi mtu anataka kukutafuna ivi!, Mateso ya kimwili km kunyimwa naniliu maksudi tu bila sababu....

Kazi zao! km hazilipi, Boss anakuonea tuu! sababu unatoka ukoo wa Nyerere!

na hii mara nyingi kuliko zote ni kwa muktadha wa sababu mbalimbali za kibinadamu ambazo ziko beyond humanity comprehensions km vile za '

kiuchumi ,
kisiasa, na
kiutamaduni!

Lengo likiwa ni kupata mahali salama ajili ya Maisha muhusika, na wapendwa wao! kwa mujibu wa sheria za haki za Binadamu za Umoja wa Mataifa ya mwaka 1648'' wana haki hiyo ya kulindwa na kuheshimiwa bila ushawishi!! na kuchagua wao mahali salama!

NB; ni kosa la jinai kumuomba mkimbizi chochote cha mwilini!! hata km akikukubalia! au akikubembeleza vipi! ukikubana saana kimbia! kwa usalama wako, au muite polisi aliye karibu!!!..... pia unatahadharishwa usimtumbulie macho aliye mbioni ukimbizini!! bali tizama chini!....ivo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…