Dkt. Tulia Ackson alikuwa chaguo la Magufuli, hafai kuwa Spika wa Bunge litakalosimamia Serikali ya awamu ya 6

Inategemeana na tulia anaamini kwenye nn
Kama anaona Mama hatoshi anawezaje kumpa ushirikiano wa kutosha.?
Hii hoja ina macho kuwa ili pasiwepo na lawama aje mpya aendana nae
 
Inategemeana na tulia anaamini kwenye nn
Kama anaona Mama hatoshi anawezaje kumpa ushirikiano wa kutosha.?
Hii hoja ina macho kuwa ili pasiwepo na lawama aje mpya aendana nae
Bunge halipaswi kuwa rubber stamp ya serikali.
Tulia ametokea Serikalini akiwa Deputy AG na lazima atakuwa soft ili apate mafungu kwa wakati ya kuendesha Bunge.
Sio sawa kumtoa kwa kuwa mama anataka mtu mpya.
Job ashaondoka, kama kuna uwezekano aje mtu kama Chenge ambae hawezi kuwa driven na gov machinery.
Awe ni mtu anaejiamini na kusisitiza autonomy ya bunge.

Sina "mahaba" na hoja ya Tulia aondoke kwa kuwa alikuwa mtu wa JPM, hapa tunakosea.
Aje mtu ambae ikitokea mawaziri "wanakomba mboga mpaka wanavimbiwa" anaweza kutaka bunge lichunguze na ikithibitika litoa hoja ya kuondokewa "wanaokomba mboga jikoni"
 
Mwenendo wa Tulia Ackson kama Naibu Spika unaonyesha kwamba yupo tayari kukandamiza demokrasia kwa kumfurahisha mkubwa aliyempa uteuzi. Tulia ni opportunist tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…