Dkt. Tulia Ackson awataka Mawaziri waliopumzishwa kwenye nafasi zao waondoe wasiwasi

Natafakari kwa mfano , mawaziri wakipembuliwa kwa uwezo wa kazi, wangapi wataondolewa na wangapi watabaki

Lakini pia kama uwaziri ni sehemu ya kuachiana nafasi je, zile damu changa na watu wapya wenye ari ya kufanya makubwa ila wapo nje ya system na wala hawana powerful surnames. Je, wana nafasi ya kutoboa kwenye space of power

Ni tafakari
Brains [emoji1666]
 
Ikiwa wakiteuliwa wanaachwa wapumzike tu then wanarudishwa tena.

Wakichoka wanapumzishwa uchovu ikiisha wanarudishwa tena. Je, sisi Chawa wa Mama ma Chawa wa Chama ni lini tutaingiamo? Au nafasi hizi ni za kwao tu?

Sitasema mengi oneni mwenyewe.

==========

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amewatoa wasiwasi Mawaziri waliopumzishwa kwenye nafasi zao ambapo amesema nafasi hizo huwa ni kwa zamu kama vile Kocha wa mpira ambavyo anaweza kumpumzisha Mchezaji kwa ajili ya mechi ijayo.

Spika Dkt. Tulia ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma leo September 04, 2023 wakati akimkaribisha Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na akitoa salamu za pongezi kwake na kwa Baraza zima la Mawaziri.

“Wale ambao mmepumzika kidogo msiwe na wasiwasi, hili Baraza linao ambao waliwahi kupumzika, wakarejea, wakapumzika tena, wakarejea, kwahiyo msiwe na wasiwasi mnafasi hizi huwa ni kwa zamu ”

“Mtu zamu yake inapofika basi anapewa hiyo kazi, zamu yake inapopungua kidogo ni kama kocha anaweka huyu si kwamba wewe uliyetoka ni mbaya ama namna gani, Kocha anataka akupumzishe kwa ajili ya maandalizi ya shughuli nyingine hapo baadaye”

AYO
Daaah
 
Kabibi jini katika ubora wake
 
Yeah. Kuwekwa pembeni kunaleta disturbance kubwa sana hasa katika quality of life ya mhusika. Hivyo napendekeza endapo waziri atatenguliwa basi
1. Apewe gari linalofanana kwa muonekano na gari analotumia akiwa waziri as long as gari hilo limeshatumika serikalini kwa muda usiopungua miaka mitatu.
2. Aruhusiwe kuendelea kusalia kwenye nyumba ya serikali hadi duru ya uchaguzi mkuu ulioko mbeleni utakapofika akipenda kuendelea kukaa kwenye nyumba hiyo.
Hii iwe kwa mawaziri, manaibu na maspika na manaibu wao... pamoja na wakuu wa mikoa kwa upande wa usafiri.
 
maskini madam

maskini madam speaker alizungumza kwa nia njema kabisa akihisi anapoza kumbe maneno yake YANABORONGA.Ukisikiliza faraja/maelezo yake kwa hao mawaziri ni kana kwamba anafananisha uongozi wa nchi(unaodili na maisha ya watu na ustawi wao) na timu ya mpira(michezo)!!!Haya ndio matokeo ya kuwa na viongozi wa favouritism!!!
 
Akumbukwe Chris Katembo kwa kazi zake zilizotukuka. Sijui tungechorewa wakati huu!
====
MAdam Speaker azungimzie utendaji wa Bunge lake katika kuishauri, Serikali.

Swali la uelewa, hivi Rais akivunja Bunge kwa sababu za Dharura, kama ambavyo Madam aliwaambia wabunge kuwa Azimio lisipopitishwa Madam Rais Dr. Samia atavunja bunge, je wabunge wanalipwa kiinua mgongo?
 
maskini madam

maskini madam speaker alizungumza kwa nia njema kabisa akihisi anapoza kumbe maneno yake YANABORONGA.Ukisikiliza faraja/maelezo yake kwa hao mawaziri ni kana kwamba anafananisha uongozi wa nchi(unaodili na maisha ya watu na ustawi wao) na timu ya mpira(michezo)!!!Haya ndio matokeo ya kuwa na viongozi wa favouritism!!!
Ni kama na yeye anajiandaa kukaa pembeni
 
Ni vigumu sana kuamini kwamba huyu ni msomi mara nyingi anajihami sana hana vitu vya maana anavyoongelea. Kocha anapokutoa maana yake umepwaya hufai.
Kwa mfano mtu kafunga goli 3, afu anatolewa , kapwaya kweli? Kwahiyo na kuchoka kupo.
 
Duh poa vipi nape nanuye bado yuko pale pale au ndumbaro ndio kam replace
Angelina Mabula (alikuwa waziri wa ardhi), Mwakibete (alikuwa naibu waziri), na mwingine amenitoka kidogo.
 
Kwa mfano mtu kafunga goli 3, afu anatolewa , kapwaya kweli? Kwahiyo na kuchoka kupo.
Yale Yale ya Gadiola anamtoa Haaland asifunge mabao sita kwenye mechi moja ya Champions League eti ataridhika mapema. Kama si wivu wa Gardiola kwa mafanikio yankijana mdogo Halaand ni ni?

Najua mambo ya mpira siyo copy na paste kwenye Siasa hasa hizi za kiswahili!
 
Yeah. Kuwekwa pembeni kunaleta disturbance kubwa sana hasa katika quality of life ya mhusika. Hivyo napendekeza endapo waziri atatenguliwa basi
1. Apewe gari linalofanana kwa muonekano na gari analotumia akiwa waziri as long as gari hilo limeshatumika serikalini kwa muda usiopungua miaka mitatu.
2. Aruhusiwe kuendelea kusalia kwenye nyumba ya serikali hadi duru ya uchaguzi mkuu ulioko mbeleni utakapofika akipenda kuendelea kukaa kwenye nyumba hiyo.
Hii iwe kwa mawaziri, manaibu na maspika na manaibu wao... pamoja na wakuu wa mikoa kwa upande wa usafiri.
Umenikumbusha mwishoni mwa miaka ya 70 ambapo mzee wangu "ametumbuliwa" ukurugenzi wa taasisi fulani, shuleni na mtaani pale Uzunguni - Dom wakaanza kutucheka, bahati nzuri mzee alikuwa ameshajenga mitaa hiyo hiyo ya Uzunguni na gari aliyokuwa anatembelea akauziwa.
 
Back
Top Bottom