Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anapaswa kuja na wholesale (sio retail) housing solution kwa wazee masikini. Huyo ni mmoja tu kati ya maelfu ya wazee wenye changamoto ya aina hiyo!Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson
Ikumbukwe bibi huyo ni moja ya watu wanaoishi katika mazingira magumu ambao walifikiwa na bendera ya Upendo iliyoongozwa na Taasisi ya Tulia Trust iliyo chini ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na Rais wa Umoja wa Mabunge (IPU) Dk. Tulia Ackson.
Wakati ambao bendera hiyo ilipita ndipo taasisi ya Tulia Trust iliona umuhimu wa kumjengea nyumba bibi huyo kutokana na hali ya nyumba aliyokuwa akiishi kuwa na hali mbaya.
Wakizungumza wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba hiyo viongozi wa mtaa wa Mwanyanje na majirani wameeleza hali ambayo bibi huyo alikuwa akipitia huku Afisa Habari wa Tulia Trust Joshua Edward akibainisha ujenzi wa nyumba hiyo unaambatana na nyumba zingine mbili katika kata ya Uyole na Itezi ambazo zote tatu zinatakiwa kukamilika ndani ya mwezi moja kuanzia hii leo.
Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson

Sasa umeileta humu yakazi gani kama alibakwa so alisikia utamu na kuna wakati ilichomoka akairudisha
Binadamu watu wabad sana.
Wengine wanatoka migodini kama chunya wanatumwa na waganga wa kienyeji.Hivi watu ni wehu unawezaje kumbaka bibi
Nsikia bibi analalamika alipata utamu lakini anataka wamjengee mlango wako waliomvunjia na siku wakirudi tena wagonge tu atawafungulia...Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson
Ikumbukwe bibi huyo ni moja ya watu wanaoishi katika mazingira magumu ambao walifikiwa na bendera ya Upendo iliyoongozwa na Taasisi ya Tulia Trust iliyo chini ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na Rais wa Umoja wa Mabunge (IPU) Dk. Tulia Ackson.
Wakati ambao bendera hiyo ilipita ndipo taasisi ya Tulia Trust iliona umuhimu wa kumjengea nyumba bibi huyo kutokana na hali ya nyumba aliyokuwa akiishi kuwa na hali mbaya.
Wakizungumza wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba hiyo viongozi wa mtaa wa Mwanyanje na majirani wameeleza hali ambayo bibi huyo alikuwa akipitia huku Afisa Habari wa Tulia Trust Joshua Edward akibainisha ujenzi wa nyumba hiyo unaambatana na nyumba zingine mbili katika kata ya Uyole na Itezi ambazo zote tatu zinatakiwa kukamilika ndani ya mwezi moja kuanzia hii leo.
Ilikuwa ndio njia ya kutokeaKubakwa kumemtoa mtu kimaisha
Kila mtu na namna yakeIlikuwa ndio njia ya kutokea
Wakati Wa Mungu Ni Wakati SahihiIlikuwa ndio njia ya kutokea
Kila jambo Lina makusudi yake😀kwamba kama asingebakwa asingepata nyumbaKubakwa kumemtoa mtu kimaisha
SuBibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson