Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

misimajumbasita

Senior Member
Joined
Jun 10, 2018
Posts
157
Reaction score
273


Ni takribani miezi kadhaa sasa toka jemedari wetu wa vita Hayati Magufuli atutoke.17-03-2021 ni sikua ambayo mpendwa wetu chuma alitutoka

Navutiwa nakupendezewa sana na Naibu wa spika akiwa anatumia ukurasa wake wa instagram kila inapo fika tarehe 17 basi hutumia ukurasa wake huo kumkumbuka Hayati Magufuli.

Pongezi sana kwako Naibu Spika nafikiri huko aliko Hayati Magufuli anafurahi namna viongozi na wananchi wake wanavyomkumbuka jinsi alivyotupigania alivyojitoa sadaka kwa watu masikini.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumpumzisha salama John Pombe Magufuli.
 

Huyu ni zaidi ya NS. Huyu analia kila siku.



Kumbuka kalia sana mahakamani jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…