Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

Ni takribani miezi kadhaa sasa toka jemedari wetu wa vita Hayati Magufuli atutoke.17-03-2021 ni sikua ambayo mpendwa wetu chuma alitutoka

Navutiwa nakupendezewa sana na Naibu wa spika akiwa anatumia ukurasa wake wa instagram kila inapo fika tarehe 17 basi hutumia ukurasa wake huo kumkumbuka Hayati Magufuli.

Pongezi sana kwako Naibu Spika nafikiri huko aliko Hayati Magufuli anafurahi namna viongozi na wananchi wake wanavyomkumbuka jinsi alivyotupigania alivyojitoa sadaka kwa watu masikini.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumpumzisha salama John Pombe Magufuli.
Kwani magu anakufa kila tarehe 17? Au sijaelewa.
 
Huu ni upimbi sana hivi ww ukongwe wako hapa umekusaidia nin unaka jf wasiendelee kupokea members wapya na pia members wapya wasiwe wachangiaji
😂😂! Kumbe wewe ni member mpya?!

IMG_20210817_112916_223.jpg


Hiiiiii bagosha!
 
Naibu Spika ataachaje kuyafanya hayo. Nafasi aliyokua nayo pamoja na Ubunge wake visingewezekana bila mbeleko ya mwendazake. Kwa hakika lazima amkumbuke
Ataache kumlilia mtu aliyemwagia makinikia ya dhahabu kwa ndani?
 
Ndo hoja uliobakia nayo ukiachana na katiba mpya na free free sio gaidi

Una posts 67 ndani ya miaka 4.

IMG_20210817_112916_223.jpg


20 katika hizo ni kwenye uzi huu ulio na masaa 2.

Ni mjumbe mpya au jina jipya?

Waambieni wanaowatuma we are not that dumb!
 
Back
Top Bottom