Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini, leo Ijumaa Mei 22, 2025, Dk Tulia ametumia nafasi hiyo kuwapa nasaha kwa wananchi hao na kwa mgombea ajaye katika uchaguzi huo.
"Nitoe wito kwenu, watu wengi watakuja kwenu, chagueni kiongozi, chagueni mtumishi, itasaidia sana kuendelea kuyakimbiza maendeleo ya jamii," amesema Dk Tulia.