Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sema kina roho mbaya kama sura akeAmenusa harufu mapema sana
Ameenda sehemu sahihi maana ni mshirikina kweli kweli😂
Dr Tulia kasoma Zanaki sasa sijui huko mashambani Uyole kinampeleka nini 🐼
SsnaHuyu ajuza na roho yake mbaya kama sura ake hana mvuto kabisa
Kumshinda Pakipande Sugu?😂😂Ameenda sehemu sahihi maana ni mshirikina kweli kweli
Kuna uwezekano mkubwa sana Sugu kuhamia chaumma na kulichukua jimbo, najaribu kucinnect codesMbunge wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini, leo Ijumaa Mei 22, 2025, Dk Tulia ametumia nafasi hiyo kuwapa nasaha kwa wananchi hao na kwa mgombea ajaye katika uchaguzi huo.
"Nitoe wito kwenu, watu wengi watakuja kwenu, chagueni kiongozi, chagueni mtumishi, itasaidia sana kuendelea kuyakimbiza maendeleo ya jamii," amesema Dk Tulia.
Chanzo: Mwananchi
Soma, Pia
Hovyo snSsna
Sugu ni mcha MUNGUKumshinda Pakipande Sugu?😂😂
Umeona eeeh!Kuna uwezekano mkubwa sana Sugu kuhamia chaumma na kulichukua jimbo, najaribu kucinnect codes
Hamshiriki uchaguzi ndo mshalikosa jimbo 😂Huyu ajuza na roho yake mbaya kama sura ake hana mvuto kabisa
Hakuna wa kumfuata huko huko uyole?Mbunge wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini, leo Ijumaa Mei 22, 2025, Dk Tulia ametumia nafasi hiyo kuwapa nasaha kwa wananchi hao na kwa mgombea ajaye katika uchaguzi huo.
"Nitoe wito kwenu, watu wengi watakuja kwenu, chagueni kiongozi, chagueni mtumishi, itasaidia sana kuendelea kuyakimbiza maendeleo ya jamii," amesema Dk Tulia.
Soma, Pia
Kuna kiongozi mmoja wa CCM - HQ (White House) hapa Dodoma, ameniambia bado wanatafuta majimbo ya kuwaachia CHAUMMA,lakini wabunge wengi wa CCM na watia nia ya kugombea ubunge via CCM matumbo joto maana hawajui bado kama majimbo wanayoyataka yamo kati ya watakayoachiwa CHAUMMA.Kuna uwezekano mkubwa sana Sugu kuhamia chaumma na kulichukua jimbo, najaribu kucinnect codes
Hakuna uchaguziHamshiriki uchaguzi ndo mshalikosa jimbo 😂