Amen
Huna jema.Alikuwa Spika n.a. angeweza kuweka sera bungeni kwa ajili ya nyumba za masikini
Kwa sasa anatafuta sifa binafsi
Jema gani mkuu! Huoni kabisa kuwa hii ni public stunt. Wema wanakuwaga hivi kweli? Wema hawahitaji dunia nzima ijue wanapofanya wema. Wema hatembelea ma-rolls royce huku wanatunuku vibanda kwa maskini huku wakitangaza dunia nzima ione. Hawa ni wauaji siyo watu wema.Huna jema.
Shetani hajawahi kuwa n.a. jemaHuna jema.
Ila kutoa hicho kidogo na kutotoa kipi Bora ?Jema gani mkuu! Huoni kabisa kuwa hii ni public stunt. Wema wanakuwaga hivi kweli? Wema hawahitaji dunia nzima ijue wanapofanya wema. Wema hatembelea ma-rolls royce huku wanatunuku vibanda kwa maskini huku wakitangaza dunia nzima ione. Hawa ni wauaji siyo watu wema.
Hello! Ni bora kutotoa kabisa kuliko kutoa kwa malengo ambayo ni maovu kama wanavyofanya hawa CCM. Kutoa kidogo namna hiyo tena kwa mtu mmoja kuna negative effect na mdhara yake yanaenda mbali. Kna watu wanapumbazika, wanaacha kukabilina na matatizo halisi na kujikutana wanapambana na matatizo bandia na matokeo yake ni society kuendelea ku-suffer. Najua kwa watu waliokulia kwenye umaskini wa mali na akili siyo rahisi kuliona hili na hudhani kupewa ''posho'' kama kuku ndiyo kuonyeshwa upendo, lakini kama unafikiri kwa kina utagundua kuwa upendo wa kweli ni ule unamfanya watu wengi wajitegemee wenyewe na siyo kusaidia mtu mmoja mmoja. Mfundishe mtu kuvua samaki na siyo kumpa makombo ya samaki... hutatatua shida yake. NOTE: sipingi mtu mmoja mmoja au kiongozi kusaidia mtu binafsi hata kwa kidogo namna gani ila napinga ile kiongozi kuishi kwa ufahari huku akifanya ufisadi na kuua raia wengi kwa ufisadi au kwa risasi huku akitoa makombo kwa mtu mmoja ili aendelee ku-maintain status yake.Ila kutoa hicho kidogo na kutotoa kipi Bora ?
Sometimes , open ur eyes and think effectively.
Kuna wanasiasa wangapi Wana mapesa ya ufisadi na hawasaidii MTU
She can be wrong ila unabidi kujua kuwa anaweza asifanye na bado akapata publicity
Wanasiasa wote wabunge Tanzania huwa wanatoa misaada binafsi kwa watu wawili watatu kwa mkakati wa kujionyesha ila ukweli ni kwamba ni vitu visivyo na impact kwa watu wao. Ingekuwa na maana zaidi kama angewatengenezea bararaba ambazo kila mtu kuanzia wanafunzi wa shule mpaka wauza mboga wangenufaika nazo.Ila kutoa hicho kidogo na kutotoa kipi Bora ?
Sometimes , open ur eyes and think effectively.
Kuna wanasiasa wangapi Wana mapesa ya ufisadi na hawasaidii MTU
She can be wrong ila unabidi kujua kuwa anaweza asifanye na bado akapata publicity
Don't confuse dues and responsibilityWanasiasa wote wabunge Tanzania huwa wanatoa misaada binafsi kwa watu wawili watatu kwa mkakati wa kujionyesha ila ukweli ni kwamba ni vitu visivyo na impact kwa watu wao. Ingekuwa na maana zaidi kama angewatengenezea bararaba ambazo kila mtu kuanzia wanafunzi wa shule mpaka wauza mboga wangenufaika nazo.
Andika kwa Kiswahili tu mkuu.Don't confuse dues and responsibility
Eeh wewe ni shetani?!!Shetani hajawahi kuwa n.a. jema
You can see the glass half full or half empty.Jema gani mkuu! Huoni kabisa kuwa hii ni public stunt. Wema wanakuwaga hivi kweli? Wema hawahitaji dunia nzima ijue wanapofanya wema. Wema hatembelea ma-rolls royce huku wanatunuku vibanda kwa maskini huku wakitangaza dunia nzima ione. Hawa ni wauaji siyo watu wema.