GE2025 Dkt. Tulia anatafuta ushawishi kwa nguvu kupitia mikopo ya asilimia 10

GE2025 Dkt. Tulia anatafuta ushawishi kwa nguvu kupitia mikopo ya asilimia 10

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Wakuu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka vikundi kuwa na Hati Miliki, akisema hazina masharti hayo zaidi ya kuunda vikundi.

Dkt.Tulia ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kongamano la wafanyabiashara ndogondogo maarufu Machinga lililofanyika katika ukumbi wa Mbeya City Park

Kongamano hilo liloandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa siku mbili jijiji mbeya.

 
Tulia kaharibu sana Bunge hadi limekosa maana.

Hivi akirudi tena bungeni ataendelea kuwa spika??

Asingezuia janga la utekaji kujadiliwa bungeni pengine Chaula, Mdude, Soka, na wengine wengi wangesalimika.

Wana Mbeya tusaidiane kumfurusha huyu mtu kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Dkt.Tulia ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kongamano la wafanyabiashara ndogondogo maarufu Machinga lililofanyika katika ukumbi wa Mbeya City Park
Rubbish ameshindwa kuyasemea bungeni anakwenda kusemea kwenye platform nyembamba kama hiyo
 
Back
Top Bottom