Tulia kaharibu sana Bunge hadi limekosa maana.
Hivi akirudi tena bungeni ataendelea kuwa spika??
Asingezuia janga la utekaji kujadiliwa bungeni pengine Chaula, Mdude, Soka, na wengine wengi wangesalimika.
Wana Mbeya tusaidiane kumfurusha huyu mtu kwa maslahi mapana ya taifa.