Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
- Thread starter
- #21
Usomi kama ndio huo wa Tulia au Kabudi kumwabudu marehemu na kumwita Mungu, ni afadhali mtu aliyeishia elimu ya ngumbaru. Hawa hawakusoma kwaajili ya kuongeza maarifa bali walisoma ili wawe wajinga na wanafiki. Wanakuwa madokta na maprofesa wa unafiki, siyo maarifa.Wanasiasa wanaonekana ni wasomi wanaozikataa taaluma zao. Au taaluma zao zimewakataa. Ukweli kawao ni kama giza tu. Tatizo kubwa llipo kwetu tuanaowaimbia mapambio