Wanasiasa wanaonekana ni wasomi wanaozikataa taaluma zao. Au taaluma zao zimewakataa. Ukweli kawao ni kama giza tu. Tatizo kubwa llipo kwetu tuanaowaimbia mapambio
Usomi kama ndio huo wa Tulia au Kabudi kumwabudu marehemu na kumwita Mungu, ni afadhali mtu aliyeishia elimu ya ngumbaru. Hawa hawakusoma kwaajili ya kuongeza maarifa bali walisoma ili wawe wajinga na wanafiki. Wanakuwa madokta na maprofesa wa unafiki, siyo maarifa.
Kodi ya watanzania inayokusanywa kwa kiwango kikubwa kinawahudumia baadhi ya watu na taasisi ambazo ziko kinyume na viapo vyao kwa mujibu wa katiba, hawasaidii wananchi nabadala yake nikinyume chake''