Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
Naomba uweke ushahidi wa mahali ulipoona naomba hela mitandaoni.Unaombaomba Wanawake mitandaoni iko siku utaolewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uweke ushahidi wa mahali ulipoona naomba hela mitandaoni.Unaombaomba Wanawake mitandaoni iko siku utaolewa.
Dah kweli njaa mbaya sana. Jimbo la wananchi wa mbeya mjini limeshakuwa la Tulia. Bila shaka mlungula uliosambazwa umewapumbaza watu wa jimbo hilo lkn 2025 ndo mtajua jimbo haliuzwi kiivo.[emoji1][emoji1][emoji1]Wewe endelea na biashara yako hapo Desderia. Lakini jimbo la Mbeya mjini ni mali halali ya Dr Tulia uchaguzi ujao.kapewa kibali na wana Mbeya ili aendelee kuwaletea maendeleo
Wana Mbeya wametulia na Tulia wao katika mioyo yao kwa ajili ya kuja kumpatia kura zote za ndio muda ukifika.Dah kweli njaa mbaya sana. Jimbo la wananchi wa mbeya mjini limeshakuwa la Tulia. Bila shaka mlungula uliosambazwa umewapumbaza watu wa jimbo hilo lkn 2025 ndo mtajua jimbo haliuzwi kiivo.
Time will tell the tale.
Hivi wewe ñi Mnyakyusa gani mlamba makalio ya Viongozi wa Hovyo?.Naomba uweke ushahidi wa mahali ulipoona naomba hela mitandaoni.
Una mtindio wa ubongo weweWana Mbeya ambao ndio wamiliki na wenye jimbo lao waneamua kumpatia na kumkabidhi Dr Tulia jimbo lao,ili aendeleze kazi nzuri aliyoianza na iliyoleta matunda kwa wanambeya.
Mimi naeleza kitu cha ukweli kuwa jimbo la Mbeya limeshamilikiwa na Dr TuliaUna mtindio wa ubongo wewe
PumbavuHakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.Mambo aliyoyafanya Dr Tulia katika jimbo la Mbeya ni makubwa na mengi kuliko aliyoyafanya sugu kwa miaka yake kumi .maana alichokifanya sugu ni kuzurula tu na kuhamasisha vurugu zilizokuwa zinakwamisha maendeleo katika jimbo la Mbeya.
Nenda ukamuulize sugu alifanya nini anachoweza akajivunia katika uongozi wake wa miaka kumi? Akikujibu basi lete hapa hayo majibu.
Pia habari za Taifa stars kufungwa ni jambo la kawaida sana.kumbuka Morocco hao walimfunga hata ureno na spain katika kombe la Dunia na kufanikiwa kutinga nusu fainali kwa mara ya kwanza katika Historia ya michuano hiyo .kiubora kwa Afrika ni ya kwanza na kidunia ya 13. Tulijitahidi na tuna nafasi nzuri tu ya kufuzu katika michuano hiyo.
Mwisho wa akili zakoMimi naeleza kitu cha ukweli kuwa jimbo la Mbeya limeshamilikiwa na Dr Tulia
Wana Mbeya wameamua kumpa Dr Tulia hati miliki ya jimbo la Mbeya mjiniMwisho wa akili zako
Huwezi kukuta thread za huyu jamaa zinafutwa hata siku moja. Ukitaka thread yako ifutwe fasta sifu chadema au kiongozi yeoyote wa chadema.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo kushangilia ushindi wake.
Maana kila mtu anasubiri kwa hamu na kwa kiu kubwa sana siku na wakati ufike ili ampigie kura ya ndio Dr Tulia. kila mtu anataka kujiwekea historia ya kumpigia kura Rais wa IPU. kila mtu anataka kuitangazia Dunia kuwa hawakukosea kumchagua kuwa Rais wao wa IPU ,kwa kuwa hata wao wana Mbeya bado wanaendelea kumpenda na kumhitaji kuendelea kuwa mbunge wao.
Kwa sasa kila mwana Mbeya anataka kuja kupiga kura kama sehemu ya kutoa shukurani na asante kwa Dr Tulia kwa kazi kubwa aliyoifanya na kugusa maisha ya wana Mbeya wengi. Dr Tulia kwa sasa hahitaji kutumia nguvu katika kampeni maana wana Mbeya wanaendelea kumpigia kampeni kila siku, wanaendelea kuonyesha na kutaja mambo aliyoyafanya katika uongozi wake ambayo yalikuwa hayajawahi kufanywa na mbunge aliyemtangulia.
Kikubwa tuendelee kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kuwatumikia wana Mbeya .tumuombe Mungu aendelee kumpigania, kumtetea na kumlinda wakati wote. Mungu aendelee kuwa upande wake na kumuongoza katika kila hatua apigayo .lakini pia Dr Tulia naye aendelee kumtumainia na kumtegemea Mungu katika kila jambo kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote .
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wameroga kisha wakaroga tena.Wee jamaa waliokuloga ni makatili sana ! Maana wameloga kuanzia nyayo hadi utosi .
Kwanini awe wa kwanza yeye? 😳Ndugu zangu Watanzania,

Kwa sababu atakuwa ameshinda mapema sanaa.Kwanini awe wa kwanza yeye? 😳
Haya bhana!Kwa sababu atakuwa ameshinda mapema sanaa.
A wasted naniliuWana Mbeya wameamua kumpa Dr Tulia hati miliki ya jimbo la Mbeya mjini
Ndugu zangu Watanzania,