Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

[emoji1][emoji1][emoji1]Wewe endelea na biashara yako hapo Desderia. Lakini jimbo la Mbeya mjini ni mali halali ya Dr Tulia uchaguzi ujao.kapewa kibali na wana Mbeya ili aendelee kuwaletea maendeleo
Dah kweli njaa mbaya sana. Jimbo la wananchi wa mbeya mjini limeshakuwa la Tulia. Bila shaka mlungula uliosambazwa umewapumbaza watu wa jimbo hilo lkn 2025 ndo mtajua jimbo haliuzwi kiivo.
Time will tell the tale.
 
Wana Mbeya wametulia na Tulia wao katika mioyo yao kwa ajili ya kuja kumpatia kura zote za ndio muda ukifika.
 
Pumbavu
 
Huwezi kukuta thread za huyu jamaa zinafutwa hata siku moja. Ukitaka thread yako ifutwe fasta sifu chadema au kiongozi yeoyote wa chadema.
 
Kwanini awe wa kwanza yeye? 😳
 
View attachment 2822906
 
View attachment 2822906
 
View attachment 2822906
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…