Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imeendelea na Zoezi la Kutoa Msaada wa Mavazi kwa Wananchi Wenye uhitaji
Walio pata msaada huo leo 23 machi 2025, ni wananchi kutoka Kata ya Tembela na Mwasanga
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza Wakati wa kukabidhi msaada huo Mwangosi Lugano kutoka taasisi hiyo amesema zaidi ya watu 130 wamenufaika ikiwa ni awamu ya pili ndani ya mwaka huu 2025
Taasisi hiyo imeahidi kufika Kila Kata ndani ya Jiji la mbeya kuwaona na kuwapa nguo wale wote wenye uhitaji