Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

Ila unajitahidi sana kujifariji.

Hadi 2025 utakuwa umewehuka, mambo mwengine usiwe unajifariji tu.
 
Kumbe wee mtumwa mzoefu hujui hata maana ya Uhuru. Kwa hiyo kuwafuga wenzio kamba wale kwenye uzio wa nyumba yako ndiyo uhuru huo? Hivi bado unaliona lile dude linaloitwa sijui makubaliano sijui mkataba ni mkataba wa manufaa? Ule ni mkataba wa utumwa rasmi. Wote wanaoushabikia ni madalali tu! Tuna miaka millioni kutoka hapa tulipo for sure!
Wenzio wenye akili kama zako walikwenda mahakamani kufungua kesi na wakaangukia pua vibaya sana
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbeya kumenoga ,kumekucha ,kumependeza,kumepembazuka,kumechanua,kunavutia,kunaleta hamasa, matumaini,faraja, Tabasamu na furaha.Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya,chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini la wana nyanda za juu kusini mh Dkt Tulia Acksoni mwansasu.

Ameendelea kuuwasha moto na kutikisa viunga vya jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wana Mbeya na yake ya kitaifa, ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa hisia za watanzania wengi.

Na kwa kipindi hiki akiwa jukwaani ,akiwa imara,mwenye bashasha,furaha, Tabasamu na mwenye kujiamini ametoa Darasa la sheria hadharani juu ya uwekezaji wa Bandarini,amefafanua masuala ya kisheria juu ya vifungu mbalimbali na kueleza hoja kwa hoja juu ya vifungu na mambo ambayo yamekuwa yakipotoshwa na watu wenye nia ovu.

Kwa utulivu, upole na unyenyekevu amewatoa hofu wana Mbeya juu ya uwekezaji huo.Na katika kuwaelimisha zaidi akafikia hatua ya kusoma maamuzi ya mahakama yaliyotupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa mkoani Mbeya ikipinga uwekezaji huo,japo waliokuwa wameifungua walionyesha uwezo mdogo wa kisheria na ujenzi wa hoja katika kuishawishi mahakama,hali iliyopelekea kutupiliwa mbali kwa kesi yao isiyo na mashiko.

Nguli huyu wa sheria huku akiendelea kushangiliwa na kupigiwa makofi kila muda alipoongea katika kata ya itigi mkoani Mbeya, alifafanua masuala mbalimbali huku akiwaasa wana Mbeya kujiepusha na kutowaunga mkono watu wanaotaka kupandikiza mbegu za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, Dini na ukanda.Alitoa Rai kwa wana Mbeya kuendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan pamoja na serikali yake,huku akieleza mipango na miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa na serikali yao ikiwepo ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mpaka Tunduma zenye urefu wa km zaidi ya 218.

Wana Mbeya kwa hakika wamepata zawadi ya kipekee sana kuwa na Dr Tulia ndani ya jiji la Mbeya.Hii ni Bahati ,neema na baraka kwa wana Mbeya,kwani ni kupitia yeye tumeona namna yatima, wajane,wazee na vijana wakisaidiwa na kuwezeshwa ,tumeona ni kupitia mikono yake ma miradi ya mabilioni yakiendelea kutekelezwa mkoani Mbeya,tumeona kupitia uwepo wake mkoani Mbeya jiji likipewa hadhi yake ya kiuwekezaji kutoka serikalini.

Sasa Mbeya ina meremeta na kumekameka, sasa wana Mbeya ni kama wote ni wana sheria wanaosubiri kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya sheria baada ya kila mara na wakati wote kupewa darasa la sheria bure kutoka kwa mwalimu na Daktari wa sheria Dkt Tulia Acksoni mwansasu mwalimu wa walimu wa sheria ,wakili wa mawakili wasomi.Hakuna kama Tulia mkoani Mbeya kwa sasa na hakuna mwenye ubavu wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Njaaa mbaya sana sasa kijana namba yako ya simu umeweka ya nini kama sio tumbo linazid kichwa 😂 hii nchi ngumu sana
 
Mimi ni mkulima ninaye kula kwa jasho langu kwa kutumia nguvu ya mikono yangu.sikai kutegemea kupata chakula kutoka hapa jukwaani ,bali najifanyia kazi zangu kwa juhudi,maarifa na bidii katika kujitafutia ridhiki yangu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbeya kumenoga ,kumekucha ,kumependeza,kumepembazuka,kumechanua,kunavutia,kunaleta hamasa, matumaini,faraja, Tabasamu na furaha.Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya,chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini la wana nyanda za juu kusini mh Dkt Tulia Acksoni mwansasu.

Ameendelea kuuwasha moto na kutikisa viunga vya jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wana Mbeya na yake ya kitaifa, ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa hisia za watanzania wengi.

Na kwa kipindi hiki akiwa jukwaani ,akiwa imara,mwenye bashasha,furaha, Tabasamu na mwenye kujiamini ametoa Darasa la sheria hadharani juu ya uwekezaji wa Bandarini,amefafanua masuala ya kisheria juu ya vifungu mbalimbali na kueleza hoja kwa hoja juu ya vifungu na mambo ambayo yamekuwa yakipotoshwa na watu wenye nia ovu.

Kwa utulivu, upole na unyenyekevu amewatoa hofu wana Mbeya juu ya uwekezaji huo.Na katika kuwaelimisha zaidi akafikia hatua ya kusoma maamuzi ya mahakama yaliyotupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa mkoani Mbeya ikipinga uwekezaji huo,japo waliokuwa wameifungua walionyesha uwezo mdogo wa kisheria na ujenzi wa hoja katika kuishawishi mahakama,hali iliyopelekea kutupiliwa mbali kwa kesi yao isiyo na mashiko.

Nguli huyu wa sheria huku akiendelea kushangiliwa na kupigiwa makofi kila muda alipoongea katika kata ya itigi mkoani Mbeya, alifafanua masuala mbalimbali huku akiwaasa wana Mbeya kujiepusha na kutowaunga mkono watu wanaotaka kupandikiza mbegu za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, Dini na ukanda.Alitoa Rai kwa wana Mbeya kuendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan pamoja na serikali yake,huku akieleza mipango na miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa na serikali yao ikiwepo ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mpaka Tunduma zenye urefu wa km zaidi ya 218.

Wana Mbeya kwa hakika wamepata zawadi ya kipekee sana kuwa na Dr Tulia ndani ya jiji la Mbeya.Hii ni Bahati ,neema na baraka kwa wana Mbeya,kwani ni kupitia yeye tumeona namna yatima, wajane,wazee na vijana wakisaidiwa na kuwezeshwa ,tumeona ni kupitia mikono yake ma miradi ya mabilioni yakiendelea kutekelezwa mkoani Mbeya,tumeona kupitia uwepo wake mkoani Mbeya jiji likipewa hadhi yake ya kiuwekezaji kutoka serikalini.

Sasa Mbeya ina meremeta na kumekameka, sasa wana Mbeya ni kama wote ni wana sheria wanaosubiri kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya sheria baada ya kila mara na wakati wote kupewa darasa la sheria bure kutoka kwa mwalimu na Daktari wa sheria Dkt Tulia Acksoni mwansasu mwalimu wa walimu wa sheria ,wakili wa mawakili wasomi.Hakuna kama Tulia mkoani Mbeya kwa sasa na hakuna mwenye ubavu wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ila wewe chawa unatambia za kingedere ngedere
 
Dr Tulia ana chapa kazi mpaka wana Mbeya wanafurahi wenyewe
huo kazi kakuchapa wewee au unaangalia kwa tumbo na sio macho 😂😂 wewe ni mwana mbea mmoja unajikuta unaleta maoni ya waty wengi hpa kaa kwa kutulia na tabia zako za kulamba watu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbeya kumenoga, kumekucha, kumependeza, kumepembazuka, kumechanua, kunavutia, kunaleta hamasa, matumaini, faraja, Tabasamu na furaha. Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya, chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini la wana nyanda za juu kusini mh Dkt Tulia Acksoni mwansasu.

Ameendelea kuuwasha moto na kutikisa viunga vya jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wana Mbeya na yake ya kitaifa, ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa hisia za watanzania wengi.

Na kwa kipindi hiki akiwa jukwaani ,akiwa imara,mwenye bashasha,furaha, Tabasamu na mwenye kujiamini ametoa Darasa la sheria hadharani juu ya uwekezaji wa Bandarini,amefafanua masuala ya kisheria juu ya vifungu mbalimbali na kueleza hoja kwa hoja juu ya vifungu na mambo ambayo yamekuwa yakipotoshwa na watu wenye nia ovu.

Kwa utulivu, upole na unyenyekevu amewatoa hofu wana Mbeya juu ya uwekezaji huo.Na katika kuwaelimisha zaidi akafikia hatua ya kusoma maamuzi ya mahakama yaliyotupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa mkoani Mbeya ikipinga uwekezaji huo,japo waliokuwa wameifungua walionyesha uwezo mdogo wa kisheria na ujenzi wa hoja katika kuishawishi mahakama,hali iliyopelekea kutupiliwa mbali kwa kesi yao isiyo na mashiko.

Nguli huyu wa sheria huku akiendelea kushangiliwa na kupigiwa makofi kila muda alipoongea katika kata ya itigi mkoani Mbeya, alifafanua masuala mbalimbali huku akiwaasa wana Mbeya kujiepusha na kutowaunga mkono watu wanaotaka kupandikiza mbegu za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, Dini na ukanda. Alitoa Rai kwa wana Mbeya kuendelea kumuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan pamoja na serikali yake, huku akieleza mipango na miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa na serikali yao ikiwepo ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mpaka Tunduma zenye urefu wa km zaidi ya 218.

Wana Mbeya kwa hakika wamepata zawadi ya kipekee sana kuwa na Dr Tulia ndani ya jiji la Mbeya. Hii ni Bahati, neema na baraka kwa wana Mbeya, kwani ni kupitia yeye tumeona namna yatima, wajane, wazee na vijana wakisaidiwa na kuwezeshwa, tumeona ni kupitia mikono yake ma miradi ya mabilioni yakiendelea kutekelezwa mkoani Mbeya,tumeona kupitia uwepo wake mkoani Mbeya jiji likipewa hadhi yake ya kiuwekezaji kutoka serikalini.

Sasa Mbeya ina meremeta na kumekameka, sasa wana Mbeya ni kama wote ni wana sheria wanaosubiri kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya sheria baada ya kila mara na wakati wote kupewa darasa la sheria bure kutoka kwa mwalimu na Daktari wa sheria Dkt. Tulia Ackson mwansasu mwalimu wa walimu wa sheria ,wakili wa mawakili wasomi. Hakuna kama Tulia mkoani Mbeya kwa sasa na hakuna mwenye ubavu wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Huyu jamaa si gasho kweli nisaidieni wakulungwa
 
Nenda basi kwenye hiyo mahakama uone kama kuna mwenye akili Timamu atakuunga mkono.Anza safari hiyo wewe na familia yako uone kama kuna mtu atawafuata nyuma.
Unaona ulivyo kilaza? Huijui hata mahakama ya wananchi!. Ni mikutano na maandamano wewe kiazi kha!
 
Back
Top Bottom