Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

Ila unajitahidi sana kujifariji.

Hadi 2025 utakuwa umewehuka, mambo mwengine usiwe unajifariji tu.
 
Wenzio wenye akili kama zako walikwenda mahakamani kufungua kesi na wakaangukia pua vibaya sana
 
Njaaa mbaya sana sasa kijana namba yako ya simu umeweka ya nini kama sio tumbo linazid kichwa 😂 hii nchi ngumu sana
 
Njaaa mbaya sana sasa kijana namba yako ya simu umeweka ya nini kama sio tumbo linazid kichwa 😂 hii nchi ngumu sana
Mimi ni mkulima ninaye kula kwa jasho langu kwa kutumia nguvu ya mikono yangu.sikai kutegemea kupata chakula kutoka hapa jukwaani ,bali najifanyia kazi zangu kwa juhudi,maarifa na bidii katika kujitafutia ridhiki yangu.
 
Ila wewe chawa unatambia za kingedere ngedere
 
Dr Tulia ana chapa kazi mpaka wana Mbeya wanafurahi wenyewe
huo kazi kakuchapa wewee au unaangalia kwa tumbo na sio macho 😂😂 wewe ni mwana mbea mmoja unajikuta unaleta maoni ya waty wengi hpa kaa kwa kutulia na tabia zako za kulamba watu
 
Hata mahakama ya wananchi ni mahakama! Hiyo mnaiogopa hadi mnapata tumbo la kuhara
Nenda basi kwenye hiyo mahakama uone kama kuna mwenye akili Timamu atakuunga mkono.Anza safari hiyo wewe na familia yako uone kama kuna mtu atawafuata nyuma.
 
Huyu jamaa si gasho kweli nisaidieni wakulungwa
 
Nenda basi kwenye hiyo mahakama uone kama kuna mwenye akili Timamu atakuunga mkono.Anza safari hiyo wewe na familia yako uone kama kuna mtu atawafuata nyuma.
Unaona ulivyo kilaza? Huijui hata mahakama ya wananchi!. Ni mikutano na maandamano wewe kiazi kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…