Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

Kiongozi akiwa na roho mbaya hata ale pipa la mafuta hawezi nenepa
 
Tafuta kazi ya msingi ufanye, ila hizi za uchawa chawa umasikin mtaendelea kuwa nao mpaka mwisho.
 
Pimbi kama huyu kesho unashangaa kawa mkuu wa wilaya kweli hii inchi itaendelea kuongozwa na wajinga
 
Watawala tunzeni amani yetu mliyoikuta.
 
Huyu mwanamke msomi sana,ukimuangalia usoni,wajuwa huyu ni msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…