Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Ujanja mwingi sana hakuna lolote hapo! Kila uchaguzi ajenda ni madawati oh matundu ya choo, tokeki hapa na sera za kishamba kila uchaguzi!
==================
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Uyole amesema kwa miaka mitano tangu 2020 mpaka 2025 Serikali imefanya maendeleo makubwa katika sekta ya elimu, kwani kwa miaka mitano hakuna mwanafunzi wa Shule ya msingi anayekaa chini, jambo ambalo linathihitisha ahadi za CCM zinatekelezeka.
"Tunapokuja kwako kuomba kura leo, tunakwambia hesabu ya yale tuliyoyafanya na mipango tuliyonayo baadae, leo mwana Itezi, mwana Uyole yale madarasa ambayo hatujakamilisha kukarabati usiwe na wasiwasi, yale uliyoyaona yanameremeta yamekaa sawa. Madarasa yote shule zote za msingi hapa Itezi na Uyole yote tunataka yakae sawa, hakuna mtoto anapaswa kukuta vumbi darasani" Alisema Dkt. Tulia