Uyole na hapo itezi muulizeni mdude nyagali chadema Yuko wapi huyo ni mwananchi mwenzenu tena maarufu mwandishi wa kitabu na mwanaharakati haonekani mpaka Leo nyie mnamkenulia meno Rango muulizeni mdude nyagali chadema Yuko wapi? Mbona rukwa walimuuliza mizengo pinda sembuse Tulia Rango?