Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa.

Akizungumza baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, Mtaa wa Uzunguni A, Jijini Mbeya leo Novemba 27, 2024, Dk Tulia amesema kuwa nyota ya Dk Ndugulile imezimika wakati akiwa ameanza kung'ara katika anga za kimataifa. Alikuwa aanze rasmi majukumu yake mapya ya kimataifa Machi mwaka 2025.

Soma: Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Dk Tulia amesema kuwa Bunge limepoteza mbunge mahiri ambaye pia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi. Mchango wake uliwezesha kufanikisha mabadiliko makubwa ya sheria na sera katika sekta za afya na mapambano dhidi ya Ukimwi.

Aidha, amewataka Wananchi wa Kigamboni kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho wamempoteza mbunge wao na kumuombea apumzike kwa amani.

Dk Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo India alipokuwa akipatiwa matibabu.
 
View attachment 3163175
Je simanzi ya Soka na wenzake? Ben Saanane? Ulikataa bunge kuhoji utekaji, leo unjitia una simanzi. sheitwani mkubwa!
 
kwa hio kuna uchaguzi mdogo kigamboni hivi karibuni...au...
 
Punguzeni kufanya magonjwa siri
Ohooo

Ova
 
Uchungu huo
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa.

Akizungumza baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, Mtaa wa Uzunguni A, Jijini Mbeya leo Novemba 27, 2024, Dk Tulia amesema kuwa nyota ya Dk Ndugulile imezimika wakati akiwa ameanza kung'ara katika anga za kimataifa. Alikuwa aanze rasmi majukumu yake mapya ya kimataifa Machi mwaka 2025.

Soma: Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Dk Tulia amesema kuwa Bunge limepoteza mbunge mahiri ambaye pia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi. Mchango wake uliwezesha kufanikisha mabadiliko makubwa ya sheria na sera katika sekta za afya na mapambano dhidi ya Ukimwi.

Aidha, amewataka Wananchi wa Kigamboni kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho wamempoteza mbunge wao na kumuombea apumzike kwa amani.

Dk Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo India alipokuwa akipatiwa matibabu
Wale walioliwa na kutekwa kisha ukakataa wajadiliwe bungeni,roho zao zitakufuata popote ulipo.........Rest in Peace Ali Kibao
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa.

Akizungumza baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, Mtaa wa Uzunguni A, Jijini Mbeya leo Novemba 27, 2024, Dk Tulia amesema kuwa nyota ya Dk Ndugulile imezimika wakati akiwa ameanza kung'ara katika anga za kimataifa. Alikuwa aanze rasmi majukumu yake mapya ya kimataifa Machi mwaka 2025.

Soma: Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Dk Tulia amesema kuwa Bunge limepoteza mbunge mahiri ambaye pia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi. Mchango wake uliwezesha kufanikisha mabadiliko makubwa ya sheria na sera katika sekta za afya na mapambano dhidi ya Ukimwi.

Aidha, amewataka Wananchi wa Kigamboni kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho wamempoteza mbunge wao na kumuombea apumzike kwa amani.

Dk Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo India alipokuwa akipatiwa matibabu.
View attachment 3163175
Tukio kubwa la pili la kuondokewa na Kiongozi mkubwa wa Nchi tangu Mama aingie madarakani March 2021, la kwanza likiwa ni LILE LA Mafuru
 
Jamani mm nauliza tu, kwann kifo cha Mhe. Dr. Ndugulile kimebaki kuwa ni SIRI?? Nini chanzo cha msiba huu. Je, ni kweli kalishwa sumu na Wazungu sababu ya kuwa Mkurugenzi mteule wa WHO Kanda ya Africa ? Je, ni mahasidi wake ndani ya CCM waliomwonea wivu kuukwaa Ukurugenzi wa WHO? Je, ni ugonjwa ya SIRI usiotakiwa kumpata Mheshimiwa ndani ya Serikali? Naomba kujulishwa jamani eeh-!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom