Apitishwe na Nani? Kipindi kile ilikua shinikizo toka ikulu.Kale kabibi hovyo kabisa. Kanaweza kakachukua form na kakapitishwa.
Uko sahihi, ila sasa nani anafaa pale wakati mule asilimia kubwa ni wale wale??Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Hiyo ilishakufa toka kipindi cha magufuri na yeye Ndugai alikuwa anaifurahia, sasa leo imemkuta, kipindi cha kikwete kulikuwa na unafuu kidogo!!ila jiwe ndio akauua kabisa!!na watu walipiga sana kelele.Kwa kuua separation of power aliyofanikiwa kuifanya leo, SAMIA ata dictate nani awe kibaraka wake kama spika!
Huyo BETINA ndio hafai kabisa!!Tulia ametokana na wizi wa kura usiomithirika