Dkt. Tulia hafai, ni zao la watesi wa upinzani na wapenda haki , amani na maendeleo, nalisema wazi

Dkt. Tulia hafai, ni zao la watesi wa upinzani na wapenda haki , amani na maendeleo, nalisema wazi

Kale kabibi hovyo kabisa. Kanaweza kakachukua form na kakapitishwa.
Apitishwe na Nani? Kipindi kile ilikua shinikizo toka ikulu.
Ndio wote hao walioishi kwa kutegemea moyo wa mtu mwingine.
Kwani Betina ana quality ipi ya kua spika?
Si sura, si chura, si rangi , si umri
 
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Uko sahihi, ila sasa nani anafaa pale wakati mule asilimia kubwa ni wale wale??
 
Kwa kuua separation of power aliyofanikiwa kuifanya leo, SAMIA ata dictate nani awe kibaraka wake kama spika!
Hiyo ilishakufa toka kipindi cha magufuri na yeye Ndugai alikuwa anaifurahia, sasa leo imemkuta, kipindi cha kikwete kulikuwa na unafuu kidogo!!ila jiwe ndio akauua kabisa!!na watu walipiga sana kelele.
 
Ila kusema za ukweli
Tuwe na raisi mwanamke
Spika mwanamke
Tamisemi ambacho ndo kiini cha utawala mwanamke
Afya mwanamke
Elimu mwanamke

This is soooo dangerous
 
Limeulizwa swali na mdau, ANAYETAA ni nani sasa sijaona pendekezo lolote... hivyo hata wanachukia hawajui wanataka nini, ni chuki tu nq huyu ndiye spika... tena mwanamke ni rubber stamp tu ya rais 'kumpitisha'....
 
Tatizo la wapinzani huwa ni moja tut mtu akiwa ccm anakuwa adui yao au mchafu akienda kwao ni jembe. Kupitia utawala wa JPM ndipo niligundua kuwa wanasiasa wengi wa upinzani ni wanafiki.
 
Back
Top Bottom