Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mara 10Hapa Hatuna SPIKA, Ndugai ana nafuu[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara 10Hapa Hatuna SPIKA, Ndugai ana nafuu[emoji4]
Watu wanawaza kupiga pesaBasi hizo Katiba na Kanuni Hazifai.....
Issue kubwa kuhusu Haki sio kwamba tu itendeke bali ionekane pia kwamba imetendeka..., Sasa kama kila mtu anaona kwamba imemezwa alafu yeye na wenzake pekee either wanaona haijamezwa au umezwaji huu ni sawa (basi watoe mambo ya mihimili ibaki miwili au mmoja) hakuna sababu ya kuendelea na maigizo kwa kutumia pesa zetu za Kodi...
Huwezi kumjaji MTU kabla hajaanza kazi !! Hizo ni Ramli za kutumia simbi zikimwagwa chini moja ikitangulia utaambiwa hapa inaonekana utafanya safari !!Sidhani kama kuna nafuu, wote ni wale wale watapia tumbo.
Ni sawa na mtu akuambie uchague kupigwa na nondo au jiwe la kichwa.
KWANI LINI LIMEWAHI KUIKISOA BILA HEKIMA? Una maana MASPIKA WALIOPITA HAWAKUWA NA HEKIMA?Lini waliwahi kuikosoa kwa kukosa hekima?kazi ya bunge ni ipi
Spika kwa hisani ya m.kiti wa CCM na kiongozi wa serikali.Katiba Bora ndio suluhu.