Dkt. Tulia: Hakuna namna ya kuzuia watu kuamini kuwa Bunge limemezwa na Dola, lakini Bunge linafanywa kazi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni

Watu wanawaza kupiga pesa
 
Sidhani kama kuna nafuu, wote ni wale wale watapia tumbo.

Ni sawa na mtu akuambie uchague kupigwa na nondo au jiwe la kichwa.
Huwezi kumjaji MTU kabla hajaanza kazi !! Hizo ni Ramli za kutumia simbi zikimwagwa chini moja ikitangulia utaambiwa hapa inaonekana utafanya safari !!
 
Acha uongo, hata polisi wanafanya Kazi kwa mujibu wa sheria
 
Katiba yetu imetengeneza Viongozi wanafiki na wasiojisimamia wenyewe.
 
Huyu tulia hana uwezo wa kuongoza itakuwa vichekesho na upumbavu mtupu
 
Spika kwa hisani ya m.kiti wa CCM na kiongozi wa serikali.Katiba Bora ndio suluhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…