Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.

Your browser is not able to display this video.
 
Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?

Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!

Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu?
 

Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge.

Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria.

So wakina Mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum.

Hapo sasa ndio Chadema watafeli hata mahakamani.
 

Wanatii sheria ya viti maalum bila ridhaa ya chama?
 
Wakati ule ulikuwa mkakati wa kumzoofisha seif Shariff Hammad na kumpa nguvu Prof.Lipumba
 
Kama Chadema waligoma kupeleka wabunge wa viti maalumu hao waliopo walipatikanaje?
 
Wanatii sheria ya viti maalum bila ridhaa ya chama?

Yes coz chama kilivunja sheria ya kutotiii kupeleka Wabunge wa viti maalum, kwa sababu zao binafsi.
 
Hivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
Hii nchi imejaa wapumbavu wengi z sana!
Ulitaka raisi akae hotel ya uswahilini huko new York?

Halafu nyie washamba mnateseka sana for nothing. Hapa Tanzania tu kuna hotel zina bei kubwa kuliko hiyo. Kuna ubaya gani?
 
Pigia mstari hili jibu
 
Tulia ukilala unasali kwa roho na kweli? Hujajifunza tu ya Job? Cheo ni dhamana na WAKATI SI MILELE!
Yuko wapi Job leo hii
Yuko wapi Sabaya
Yuko wapi Bashite....
Yako wapi mafirauni yote yaliyotamba kwa nyakati zao?
 
Comment kama hii inasikitisha kwa kuwa inaonyesha kiwango chetu duni cha kufikiri na kuchanganua mambo.
 
Je ikionekana wamefukuzwa kihalali hizi Siku watakazoingia bungeni Hadi uamuzi huoni Kodi yetu itakua imeenda bure Kwa malipo yao
Na vipi ikionekana wamefukuzwa kiharamu? Je watalipwa marupurupu yao yote ikiwemo mafuta ya gari kwa muda waliokuwa nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…