Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko wapi Lisu?Tulia ukilala unasali kwa roho na kweli? Hujajifunza tu ya Job? Cheo ni dhamana na WAKATI SI MILELE!
Yuko wapi Job leo hii
Yuko wapi Sabaya
Yuko wapi Bashite....
Yako wapi mafirauni yote yaliyotamba kwa nyakati zao?
Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Yes coz chama kilivunja sheria ya kutotiii kupeleka wabunge wa viti maalum, Kwa sababu zao binafsi
"Wakina Mdee walivuliwa uanachama wao kwa kutiii sheria ya viti maalum"Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Yuko wapi Lisu?
Yuko wapi msigwa?
Yuko wapi sugu?
Yuko wapi lema?
Acha tim jiwe ifanye kazi eboooTunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Huyu Spika ametoa hoja dhaifu sana, ameridhalilisha bunge na wasome wa sheria.MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
Hapo ndipo uwezo wako umeishia?Yes coz chama kilivunja sheria ya kutotiii kupeleka wabunge wa viti maalum, Kwa sababu zao binafsi
Wakikujibu nishitue.Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Crap!Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Crap!
Utendaji wa bunge unategemea uwepo wa wabunge wa viti maalum - kweli ukiwa mnafiki, ni rahisi kukubali kuwa mjinga. Watu wanatetea ujinga.
Natural justice principle ni kwamba, taasisi yoyote ambayo wewe umo, ikikuondolea haki au manufaa yoyote yale, iwe kwa haki, kimakosa au kukuonea, utaendela kuitumikia hukumu hiyo mpaka ama fhombo cha juu zaidi ndani ya taasisi yako au mahakama itakavyobatilisha uamyzi wa taasisi hiyo.
Huu upuuzi wa Tulia na wajinga wengine waliomo humu, eti ukishakatia rufaa maamuzi ya taasisi yako mahakamani, basi unaendelea na haki za awali, ni uwendawazimu wa hali ya juu. Kama shwria zingekuwa zinafanya kazi kwa namna hiyo, tysingekuwa na wafungwa. Kwa maana mtu akihukumiwa kifungo, anakata rufaa, kisha anakuwa huru kusubiria maamyzi ya rufaa. Na hayo maamuzi yakitoka, unakata rufaa tena, hukumu inasimama, unaendelea kuwa huru.
Mnasumbuka bure wale 19 hawatoki Bungeni.
Kesi itazungushwa hadi msahau.
Tutaongeaje na Wahisani juu ya Democrasia kwenye medani za Kimataifa ?
Hao 19 ndio chambo ya kuonesha Demokrasia yetu kimataifa.
Alaf nauliza.
Hivi Chadema hawawachangishi tena ile ruzuku za kunenepesha mfuko wa Chama zile milioni mbili kwa kila Mbunge?
Maana 19 X 200,0000/=
= 38,000,000/= kwa mwezi
Kwa mwaka 38m X 12.
= 456,000,000/=
Pesa yote hii kweli Mbowe anaisusa ?
Hivi ungekuwa wewe Mwanachadema Kindakindaki.
CCM wamekupa ubunge wa bure ule kuku mjengoni miaka mitano.
Ungegoma kweli, sababu tu wanachama hawataki. ?
Na njaa yote hii
Sijui kama kuna Mtanzania angeiacha hiyo fulsa, sijui.