LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Nchi hii umma usipotoka usingizini tutaendelea kuibiwa mpaka Basi, mahakama na bunge vinatumika kusafisha ufisadi wa kulipa watu wasio na vyama bungeni.Dhambi hii itaendelea kuumiza taifa letu daimaWa kukemea uovu hayupo genge la kifisadi linalolindwa na dola limeng'ang'ana kutunyonya kama luba!kazi ipo kiukweli nchi yetu haina viongozi.
Kwa hali mbaya ya uchumi wa maskini wa nchi hii halafu Kuna watu wamekalia ofisi za umma bila kujali Kodi zetu zinavyoliwa kitapeli nadhani Karma italipa kama ilivyolipa Kwa wengine.Tulia ukilala unasali kwa roho na kweli? Hujajifunza tu ya Job? Cheo ni dhamana na WAKATI SI MILELE!
Yuko wapi Job leo hii
Yuko wapi Sabaya
Yuko wapi Bashite....
Yako wapi mafirauni yote yaliyotamba kwa nyakati zao?
Watafungua kesi ya kukidai Chama kiwalipe fidia na kuwadhalilisha.Na vipi ikionekana wamefukuzwa kiharamu? Je watalipwa marupurupu yao yote ikiwemo mafuta ya gari kwa muda waliokuwa nje?
Nafikiri hii Hali ya watu wa Chache kulindana na kulihujumu Taifa itashamiri sana mana hata kule Hazina watakwapua halafu serikali ikitaka kuwasimamisha kazi au kuwafukuza watakimbilia mahakamani na kuomba mahakama izuie wasiachie ofisi na waendelee kukalia ofisi mpaka mahakama itoe hukumu.Huyu Spika ametoa hoja dhaifu sana, ameridhalilisha bunge na wasome wa sheria.
Ngoja nifafanue hili.
1. Spika anasema aliambiwa na wakina Mdee kuwa wamedhamiria kufungua kesi hivyo akaamua awasubiri kwanza wafungue kesi!
Mbunge aliyevuliwa uanachama wake anaweza kwenda mahakamani baada ya siku, wiki, mwezi, mwaka nk. Spika atajuaje mhusika atakwenda mahakamani lini ili asichukue maamuzi kwanza? Kwa mfano wakina mdee wangesema watafungua kesi mwakani, je spika angesubiri muda wote huo?
2. Kipindi chote kifupi ambacho wakina mdee wamevuliwa uanachama na baraza kuu la CHADEMA kabla ya kufungua kesi, kwanini waliendelea na status za kibunge ikiwemo kuingia bungeni?
3. Spika alijuaje aina ya kesi inayokwenda kufunguliwa na akina Mdee kabla ya kesi husika kutajwa mahakamani?
4. Spika aliwezaje kuzifanyia kazi taarifa za kusikia sikia za kina mdee kutaka kufungua kesi na hapo hapo akashindwa kuzifanyia kazi taarifa za kusikia sikia (ambazo zilitangulia) kuhusu kuvuliwa uanachama wa CHADEMA?
5. Kwanini Spika alipopokea barua inayohusu kuvuliwa uanachama wa akina Mdee (siku ya ijumaa asubuhi) hakuifanyia kazi papo hapo ikiwemo kutangaza kupoteza ubunge badala yake akasubiri mpaka wafungue kesi?
Na wale wezi kule halimashauri wakishaiba pesa au wakituhumiwa kula pesa za Halmashauri na kusimamishwa au kufukuzwa kazi basi nao watakimbilia mahakamani kupinga kuachia ofisi hivyo wataendelea kukalia ofisi wakisubiri hukumu ya mahakama. Ni khatari sana kama Mhimili unaotunga Sheria unajidhalilisha Kwa kiwango hicho Tena ukiwa inaongozwa na Daktari wa Sheria.Crap!
Utendaji wa bunge unategemea uwepo wa wabunge wa viti maalum - kweli ukiwa mnafiki, ni rahisi kukubali kuwa mjinga. Watu wanatetea ujinga.
Natural justice principle ni kwamba, taasisi yoyote ambayo wewe umo, ikikuondolea haki au manufaa yoyote yale, iwe kwa haki, kimakosa au kukuonea, utaendela kuitumikia hukumu hiyo mpaka ama fhombo cha juu zaidi ndani ya taasisi yako au mahakama itakavyobatilisha uamyzi wa taasisi hiyo.
Huu upuuzi wa Tulia na wajinga wengine waliomo humu, eti ukishakatia rufaa maamuzi ya taasisi yako mahakamani, basi unaendelea na haki za awali, ni uwendawazimu wa hali ya juu. Kama shwria zingekuwa zinafanya kazi kwa namna hiyo, tysingekuwa na wafungwa. Kwa maana mtu akihukumiwa kifungo, anakata rufaa, kisha anakuwa huru kusubiria maamyzi ya rufaa. Na hayo maamuzi yakitoka, unakata rufaa tena, hukumu inasimama, unaendelea kuwa huru.
Aisee Sasa hapo wanaoumia ni Chadema au ni Taifa Zima kukosa watu waadilifu. Hivi unafikiri hata CCM ikiwatumia watu wanaoghushi itakua imepata watu wanaofaa kulitumikia Taifa? Au ndio tuamini kuwa CCM ni Chama Cha wezi na mafisadi ndio maana inapigania maslahi HARAMU ya kina Mdee.Mnasumbuka bure wale 19 hawatoki Bungeni.
Kesi itazungushwa hadi msahau.
Tutaongeaje na Wahisani juu ya Democrasia kwenye medani za Kimataifa ?
Hao 19 ndio chambo ya kuonesha Demokrasia yetu kimataifa.
Alaf nauliza.
Hivi Chadema hawawachangishi tena ile ruzuku za kunenepesha mfuko wa Chama zile milioni mbili kwa kila Mbunge?
Maana 19 X 200,0000/=
= 38,000,000/= kwa mwezi
Kwa mwaka 38m X 12.
= 456,000,000/=
Pesa yote hii kweli Mbowe anaisusa ?
Hivi ungekuwa wewe Mwanachadema Kindakindaki.
CCM wamekupa ubunge wa bure ule kuku mjengoni miaka mitano.
Ungegoma kweli, sababu tu wanachama hawataki. ?
Na njaa yote hii
Sijui kama kuna Mtanzania angeiacha hiyo fulsa, sijui.
wale wa CUF walikwenda mahakamani kabla ya nafasi zao za ubunge kufutwa?Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Afrika ndio maana hakuna Nabii Wala Mtume aliyepewa kitabu. Tunatumia vitabu vya manabii na wakombozi wa mataifa mengine. Mungu alijua waafrika ni wabinafsi sana na wanajali maisha yao TU.Viongozi wa chadema Wana utoto flan sometimes wanapenda kuonewa huruma kwenye mitandao kama hivi!
Wao walisema kabisa hawapeleki wabunge wenyewe walijua wanakomoa serikali, katika haya Maisha ya kiafrica uwez kubishana na serikali never,
Ndio maana unaambiwa serikali ina mkono mrefu
Acheni kuchoche chuki kwenye Taifa.Chama akitaki
I think wakina sugu na msigwa wangekuwa wanaweza kujibadili kuwa wanawake I'm sure na wao wangeenda tu
Miaka yote mnaibiwa Kura, miaka yote uchaguzi sio huru mbona mlikuwa mnaenda? This time Kwa vile hakuna mwanaume kashinda ndio mnasusa
Kama uchaguzi ulikuwa batili. Mwenyekiti anaendaje kuonana na Rais batili, mnaandika barua kwa bunge batili, kwa muktadha huu itakuwa na nyie ni batiliChama kilisema wazi uchaguzi ulikuwa batili, hao Covid wangeanzisha chama chao wapeleke wabunge kiasi chochote watakacho.
Mkuu Fundi Mchundo , vitu vingine sio vya kuuliza ni kutaka tuu kumuonea Spika.Mimi hili suala hata silielewi. Hivi kwa nini Spika hakuwaita wakina Halima na NEC ili watoe uthibitisho kuwa barua waliyompa ni halali? Maana kama kweli walimpa barua basi Spika ndio injured party na ni yeye ndie aliyepaswa kuchukua hatua dhidi ya waliomdanganya kwa kumpa nyaraka za kughushi. Ukimya wake kwenye suala hii ndio unanitia wasiwasi kuwa hamna nyaraka iliyowasilishwa kuwatambulisha wakina Halima kuwa wateuliwa wa Chadema. Hii ndio inayonifanya nione tuhuma za kughushi hazina mashiko. Labda sasa Chadema watumie Mahakama kumlazimisha NEC atoe nakala za barua alizopokea kutoka Chadema.
Amandla...
Kwa faida ya wengine naomba nianzie mbali.Mkuu P , kuna hoja moja tusaidie kuielewa ili tusimuonee Spika.
Spika Tulia kasema asubuhi ya jana, 'kuna shauri lipo mahakamani hatawazuia COVID19 bungeni''
Jioni Jaji Mgeta anatoa kauli ya mahakama ya 'status quo' kwa Wabunge
Swali, Spika alipata wapi taarifa za COVID19 kwenda mahakamani?
Kuna sheria gani inayomkataza asiwazuie kuingia Bungeni kabla ya 'hukumu' ya mahakama?
Swali la mwisho, je, Tundu Lissu ambaye shauri lake lipo mahakamani ni Mbunge halali?
JokaKuu Fundi Mchundo
Umemsikiliza lakini spika kasemaje?Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Mkuu P , kuna hoja moja tusaidie kuielewa ili tusimuonee Spika.Mkuu Fundi Mchundo , vitu vingine sio vya kuuliza ni kutaka tuu kumuonea Spika. Uchaguzi unasimamiwa
Hapo ndio shida ukisema Chadema walikataa viti maalumu kina Mdee wakaenda kina Mdee ndio nani chama cha siasa? sheria ziko wazi watu wanateuliwa na chama chao sio unajipeleka tu mwenyewe kwenye hili tuweke ushabiki huko hawa na sote tunajuwa nani aliwaweka bila kufuata utaratibu Bunge linatambua Chama sio watu mmoja mmoja. Haya ya CUF na Chadema hakuna tofauti yoyote. Speaker anasema ni jukumu lake kufuatilia kesi mahakamani sio kuletewa hukumu kama wasomi wetu wa sheria wanaongea hivi basi kuna shida kubwa katika nchi hii. Speaker katangaza hukumu kabla mahakama haijatoa hukumu jana kawahi sana Mama sasa anafanya damage control. Kufungua kesi mahakamani haina maana yoyote bila kuwa na hukumu angesubiri hukumu ndio angesema nilikuwa nataka kutangaza nafasi lakini nimepokea hukumu makahakamani kusimamisha ila bahati mbaya katoa hukumu yeye asubihi mahakama ikaleta tu karatasi baadae. Tulia aibu yako kama msomi wa sheria ndio wewe basi tusitegemee miujiza nchi hii sijui utawafundisha nini watoto zako. shame kwa wasomi wetuWale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Speaker bora angekaa kimyaa ndio kaharibu kabisa. Kasema alivyoambiwa wamefungua kesi hakusubiri mahakama imuambie jukumu lake kufuatilia kujiridhisha ila yeye alishatoa hukumu kwa niaba ya mahakama kabla hata mahakama haijatoa hukumu. Kufungua kesi haina maana sheria isifuatwe hukumu ikitoka unaletewe nakala ya hukumu ndio unachukuwa sheria. Bunge limejivua nguo wao kuwa ndio watu wa kuvunja sheria za nchi. Katiba ndio sheria Mama hakuna aliyekuwa juu ya katiba hivi hili linahitaji mahakama? hatuna wagombea binafsi ukiwa sio mwanachama hata ukijivua au kuvuliwa unapoteza sifa za ubunge haki unazitafuta nje ya bunge sio ndani ya bunge.Umemsikiliza lakini spika kasemaje?
Mkuu,huyo unayemuomba muogozo huwa hapendi kuusimamia ukweli (siyo muongo)nadhani U-CCM umemjaa kuliko ukweli.Anapindishapindisha maneno na kujinukuu nyuzi zake nyingi ili akubabaishe.Na si kukupa ukweli na haki.Msubiri.Mkuu Pascal Mayalla , kwavile wiki nzima na ushee umekuwa mstari wa mbele katika kusimamia ''masilahi' ya Taifa bila kujali chama, na kwakuwa unaona COVID19 wameonewa na Chadema kufukuzwa ;
a) Kwanini wanataka kubaki na Ubunge kwanza na si shauri la msingi la uanachama?
b) COVID19 wanawakilishwa na Mawakili wa Serikali. Kuna kifungu gani kinachowapa fursa ya kuwakilishwa na serikali ikiwa mgogoro ni suala la ndani ya Chama? Kumbuka mgogoro si ubunge?
Ukishatufahamisha majibu ya #117 tusaidie kufafanua a na b hapo juu
JokaKuu Fundi Mchundo