Hata kama wahusika walijizima data, (bunge kibogoyo)
Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite
Kama wabunge Huwa na akili timamu kwanini huwa wanapitisha sera ambazo hazina muelekeo, (conflicting policies)
Why do members of Parliament approve conflicting policies, (lack the knowledge of the aftermath of what is approved)