Dkt Tulia: Naweza kuwakilisha wananchi bungeni bila kuuliza maswali

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Wa Jimbo la Uyole, Mbeya Dkt Tulia Ackson amesema anaweza kuwawakilisha wananchi wake bila kuuliza maswali Bungeni, Tulia ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm.

Soma Pia:
Aidha amesema kuna njia nyingi za kuwasilisha changamoto za wananchi ambapo unaweza kuwasilisha kwa maandishi au kuonana ana kwa ana na Waziri husika katika wizara

Hakuna haja ya wabunge kulipwa posho ya kwenda bungeni.
 
Mbunge wa Wa Jimbo la Uyole, Mbeya Dkt Tulia Ackson amesema anaweza kuwawakilisha wananchi wake bila kuuliza maswali Bungeni, Tulia ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm.

Aidha amesema kuna njia nyingi za kuwasilisha changamoto za wananchi ambapo unaweza kuwasilisha kwa maandishi au kuonana ana kwa ana na Waziri husika katika wizara

Dr. Tulia yuko sahihi kabisa 🐒
 
Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, unaweza kujikuta unasema kobe ni mzembe na nyani ni genius.....😜
 
Back
Top Bottom