Mbunge wa Wa Jimbo la Uyole, Mbeya Dkt Tulia Ackson amesema anaweza kuwawakilisha wananchi wake bila kuuliza maswali Bungeni, Tulia ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm.
Aidha amesema kuna njia nyingi za kuwasilisha changamoto za wananchi ambapo unaweza kuwasilisha kwa maandishi au kuonana ana kwa ana na Waziri husika katika wizara