Na angekuwepo Mwendazake huyo Yulia asingesubutu kiongea chochote,maana hata huo ubunge aliupata ni wa promotion.Kipindi jiwe anapeleka miradi isiyo na idadi chato wala hakuyasema haya.
Zaidi walishangilia na kuunga mkono
Kwahiyo katiba mpya ndio suluhisho?
Pale Kenya haijawasaidia chochote wako kwenye BBI mahakamani!
Mi kweli tusije ondoa focus ya madai ya wana Mbeya ya muda mrefu kupuuzwa na serikali za Awamu zote.
Swadakta mkuu...tazara ni reli nzuri. Inachohitaji ni ukarabati.
..na siyo lazima iwe reli ya umeme. Angola wamejenga upya reli yao ya kwenda Benguela Port kwa standard sawa na Tazara ambayo ni Cape Gauge Rail.
..kwa maoni yangu, reli ya Dar-Kilimanjaro haina umuhimu kulinganisha na reli ya Tazara. Serikali ilifanya makosa kukarabati reli hiyo sasa hivi, kabla ya kuikarabati na kuifufua reli ya Tazara.
..Dr.Tulia na wabunge wenzake wa Mbeya walitakiwa waishauri vizuri serikali kuhusu reli ipi ilikuwa muhimu zaidi, na ilistahili kutengewa fedha kwanza.
Kulifiki malafyaleKwa jinsi ulivyooanza wewe sio. Hutoki Mbeya.🤨
Huwezi kuanza kwa kujitapa kama wewe ni mwana nyanda za juu kusini. Then unatusimanga.Kulifiki malafyale
Baada ya kuondoka aliyekuwa anamuogopaNdio amesema sasa.