..tazara ni reli nzuri. Inachohitaji ni ukarabati.
..na siyo lazima iwe reli ya umeme. Angola wamejenga upya reli yao ya kwenda Benguela Port kwa standard sawa na Tazara ambayo ni Cape Gauge Rail.
..kwa maoni yangu, reli ya Dar-Kilimanjaro haina umuhimu kulinganisha na reli ya Tazara. Serikali ilifanya makosa kukarabati reli hiyo sasa hivi, kabla ya kuikarabati na kuifufua reli ya Tazara.
..Dr.Tulia na wabunge wenzake wa Mbeya walitakiwa waishauri vizuri serikali kuhusu reli ipi ilikuwa muhimu zaidi, na ilistahili kutengewa fedha kwanza.