Chadema itamdhalilisha kila wakala wa Shetani bila kujali cheo chakeUamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.
Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama ni giliba za kisiasa tu.
Dr. Tulia, tulia lkn usitulie na barua toka chadema.
Najua alishajifunza kitu kwani alishuhudia mtu akitoka mbio na kuwacha kiti sitarakiii arudie kosa kwani itakuwa kosa🏃Tulia anasubiria kesi ifunguliwe mahakamani.ili aseme haiingilii muamala mwingine wa sirikali.tunarudi kule kule nssr mageuzi vs Mrema na cuf lipumba(ccm)vs cuf wananchi.
Ile barua Chadema walitakiwa wamuandikie mwenyekiti wao kumjulisha uamuzi, wao walikosea kumpelekea spika ingekuwa vizuri wangefanya kama Ndugai alivyofanya kwani huo ndio utaratibu wetu.Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.
Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama ni giliba za kisiasa tu.
Dr. Tulia, tulia lkn usitulie na barua toka chadema.
AmenChadema itamdhalilisha kila wakala wa Shetani bila kujali cheo chake
Mmh! Wamjulishe mwenyekiti wa ccm??Ile barua Chadema walitakiwa wamuandikie mwenyekiti wao kumjulisha uamuzi, wao walikosea kumpelekea spika ingekuwa vizuri wangefanya kama Ndugai alivyofanya kwani huo ndio utaratibu wetu.
Huo ndio utaratibu tuliojiwekea bungeni.Mmh! Wamjulishe mwenyekiti wa ccm??
Safi Sana ccm. Ccm safi!!!!!!??Huo ndio utaratibu tuliojiwekea bungeni.
Chini ya bunge la CCM hawatoki ng'o.
Hii ni mihimii miwili tofauti,acha kumuhusisha rais na bunge,Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.
Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama ni giliba za kisiasa tu.
Dr. Tulia, tulia lkn usitulie na barua toka chadema.
Ndio hatua za kuipata haki zilivyoTulia anasubiria kesi ifunguliwe mahakamani.ili aseme haiingilii muamala mwingine wa sirikali.tunarudi kule kule nssr mageuzi vs Mrema na cuf lipumba(ccm)vs cuf wananchi.
Hahaha! Hata jiwe aliuficha udikteta wake nyuma ya utofauti wa mihimiliHii ni mihimii miwili tofauti,acha kumuhusisha rais na bunge,
Haki za hao wabunge hatima yao ya mwisho ni mahakama sio hiyo kangaroo koti