Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Umesema kweli kabisa! Huyu ni mnafiki sana! Zenj inatunyonya sn Tanganyika!She is not serious at all! Yaani tuulinde Muungano kama huu wa kinyonyaji kwa wivu mkubwa! I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika. Yaani ndani ya mwezi tu Tanganyika na Zanzibar, kila nchi ingejitegemea kivyake kwa 100%
Huo muungano una faida gani kwa Tanganyika zaidi ya hasara?Umesema kweli kabisa! Huyu ni mnafiki sana! Zenj inatunyonya sn Tanganyika!