Dkt. Tulia: Tulipata maarifa kutoka kwa Lukuvi, Usipotaka kuwa mwizi angekufunza

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo Machi 27, 2026.

"Mimi nilijifunza kutokwa kwake mtu huyu ambaye yupo hapa leo tumekuja sote kumpa heshima hizi, hakuwa na choyo ya maarifa, hakuwa na choyo ya maarifa katika maeneo yote ukitaka maarifa ya namna ya kufanya siasa safi utazipata kwake, ukitaka maarifa ya namna ya kutokuwa mwizi utajifunza kwake l, maana yote alitufundisha yeye"

Soma pia: TANZIA - Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Lukuvi kama alikuwa anawafundisha wabunge wasiwe wezi basi yeye lazıma alikuwa ndio mwizi aliyekubuhu na ndio maana alizijua mbinu hizo!!! Mahotel na apartments alizokuwa anamiliki Dodoma na Dar angezipataje kama sio kutuibia humo serikalini?
Huko juu hakuna kiongozi msafi hata mmoja mkuu

Ova
 
Hivi ndani ya ccm kuna mtu siyo mwizi kweli? Labda ccm ile ya Nyerere walau kulikuwa na kauoga fulani. Ila siyo ccm ya sasa iliyojaa majambazi sugu, mafisadi ya kutisha, majangili hatari ya raslimali zetu, na matapeli mabaya kabisa yaliyojivika ngozi ya kondoo.
 
Lukuvi kama alikuwa anawafundisha wabunge wasiwe wezi basi yeye lazıma alikuwa ndio mwizi aliyekubuhu na ndio maana alizijua mbinu hizo!!! Mahotel na apartments alizokuwa anamiliki Dodoma na Dar angezipataje kama sio kutuibia humo serikalini?
Changamka na wewe ukaibe unachelewa nini mkuu km wanaiba na wewe unapenda kuiba basi kunja suruali ingia uibe ila ukikamatwa tambua kwamba utasimulia mpaka wajukuu zako kilichokupata,

kuna uzi upo humu ulisimulia kuhusu mzito mmoja ambae alikwiba akadakwa mpaka leo yupo nyuma ya Nondo hajatoka
 
Wangekuwa wanakamatwa kusingekuwa na wezi wengi hivyo.
 
Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo Machi 27, 2026.

"Mimi nilijifunza kutokwa kwake mtu huyu ambaye yupo hapa leo tumekuja sote kumpa heshima hizi, hakuwa na choyo ya maarifa, hakuwa na choyo ya maarifa katika maeneo yote ukitaka maarifa ya namna ya kufanya siasa safi utazipata kwake, ukitaka maarifa ya namna ya kutokuwa mwizi utajifunza kwake l, maana yote alitufundisha yeye"

Soma pia: TANZIA - Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
Sasa mbona wezi ndio mpo wengi pamoja nawe uliiba chaguzi mbili?!
 
1774858089841.png

"Mimi nilijifunza kutokwa kwake mtu huyu ambaye yupo hapa leo tumekuja sote kumpa heshima hizi, hakuwa na choyo ya maarifa, hakuwa na choyo ya maarifa katika maeneo yote ukitaka maarifa ya namna ya kufanya siasa safi utazipata kwake, ukitaka maarifa ya namna ya kutokuwa mwizi utajifunza kwake l, maana yote alitufundisha yeye"
-Tulia Akson

1774858284981.png

Hotel ya Lukuvi Dodoma , mtumishi wa umma.

Wallahi kuta kitu sielewi.
Wadau nielewesheni
 
Back
Top Bottom