Huko juu hakuna kiongozi msafi hata mmoja mkuuLukuvi kama alikuwa anawafundisha wabunge wasiwe wezi basi yeye lazıma alikuwa ndio mwizi aliyekubuhu na ndio maana alizijua mbinu hizo!!! Mahotel na apartments alizokuwa anamiliki Dodoma na Dar angezipataje kama sio kutuibia humo serikalini?
Changamka na wewe ukaibe unachelewa nini mkuu km wanaiba na wewe unapenda kuiba basi kunja suruali ingia uibe ila ukikamatwa tambua kwamba utasimulia mpaka wajukuu zako kilichokupata,Lukuvi kama alikuwa anawafundisha wabunge wasiwe wezi basi yeye lazıma alikuwa ndio mwizi aliyekubuhu na ndio maana alizijua mbinu hizo!!! Mahotel na apartments alizokuwa anamiliki Dodoma na Dar angezipataje kama sio kutuibia humo serikalini?
Wangekuwa wanakamatwa kusingekuwa na wezi wengi hivyo.Changamka na wewe ukaibe unachelewa nini mkuu km wanaiba na wewe unapenda kuiba basi kunja suruali ingia uibe ila ukikamatwa tambua kwamba utasimulia mpaka wajukuu zako kilichokupata,
kuna uzi upo humu ulisimulia kuhusu mzito mmoja ambae alikwiba akadakwa mpaka leo yupo nyuma ya Nondo hajatoka
Sasa mbona wezi ndio mpo wengi pamoja nawe uliiba chaguzi mbili?!Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo Machi 27, 2026.
"Mimi nilijifunza kutokwa kwake mtu huyu ambaye yupo hapa leo tumekuja sote kumpa heshima hizi, hakuwa na choyo ya maarifa, hakuwa na choyo ya maarifa katika maeneo yote ukitaka maarifa ya namna ya kufanya siasa safi utazipata kwake, ukitaka maarifa ya namna ya kutokuwa mwizi utajifunza kwake l, maana yote alitufundisha yeye"
Soma pia: TANZIA - Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
Wale ambao hawajui kula na vipofu ndio hua wanakamatwa ila wanaokula na vipofu bado wanaendelea kuiba sio uongo ni ukweliWangekuwa wanakamatwa kusingekuwa na wezi wengi hivyo.