WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alionya Watanzania kuacha, ku record na kusambaza matukio ya video hasi na kuzisambaza mitandaoni kwani husababisha taharuki na chuki dhidi ya kundi fulani. Waziri Mkuu alishauri njia bora itumike kuripoti tukio.
Ila Dkt. Tulia, Spika wa Bunge la Jamhuri kwa kujifanya mjuaji, kiherehere, na mpinzani wa Waziri Mkuu akapinga hoja hiyo ki aina. Ikumbukwe huyu Dkt. Tulia ni Bingwa wa kushauri wengine ila yeye hashauriki.
Nami kama mtanzania, mwenye haki ya kutoa maoni namuomba Dkt. Tulia ajiuzulu nafasi ya Uspika na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kama mharifu wa kawaida kwa kukiuka Sheria na misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwakumbatia COVID-19 kinyume na kiapo chake cha Usipika.
Kupitia mitandao aliyodai iendelee kuripoti matukio ya uovu, yeye ameripotiwa na CHADEMA na Raia wema zaidi ya mara 100. Na mimi naripoti tena. Halima Mdee na Genge lake hawana chama wanachowakilisha Bungeni na hivyo serikali inapoteza mamilioni ya Pesa kulipa Wabunge Hewa ilihali huduma za Maji nchini ni za ovyo. Huu ni muda wa kuwashitaki Viongozi aina ya Tulia, na hasara zote alizosababishia Taifa kwa malipo hewa kupigwa faini yeye binafsi na si ofisi ya Spika.
Tunakuomba Dkt. Tulia ujiuzulu ili kulinda heshima ya utii wa Sheria na Katiba ya Nchi.