Dkt. Tulia unashauri wengine, ila wewe hushauriki

WAZO2010

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
1,615
Reaction score
3,784
Jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alionya Watanzania kuacha, ku record na kusambaza matukio ya video hasi na kuzisambaza mitandaoni kwani husababisha taharuki na chuki dhidi ya kundi fulani. Waziri Mkuu alishauri njia bora itumike kuripoti tukio.

Ila Dkt. Tulia, Spika wa Bunge la Jamhuri kwa kujifanya mjuaji, kiherehere, na mpinzani wa Waziri Mkuu akapinga hoja hiyo ki aina. Ikumbukwe huyu Dkt. Tulia ni Bingwa wa kushauri wengine ila yeye hashauriki.

Nami kama mtanzania, mwenye haki ya kutoa maoni namuomba Dkt. Tulia ajiuzulu nafasi ya Uspika na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kama mharifu wa kawaida kwa kukiuka Sheria na misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwakumbatia COVID-19 kinyume na kiapo chake cha Usipika.

Kupitia mitandao aliyodai iendelee kuripoti matukio ya uovu, yeye ameripotiwa na CHADEMA na Raia wema zaidi ya mara 100. Na mimi naripoti tena. Halima Mdee na Genge lake hawana chama wanachowakilisha Bungeni na hivyo serikali inapoteza mamilioni ya Pesa kulipa Wabunge Hewa ilihali huduma za Maji nchini ni za ovyo. Huu ni muda wa kuwashitaki Viongozi aina ya Tulia, na hasara zote alizosababishia Taifa kwa malipo hewa kupigwa faini yeye binafsi na si ofisi ya Spika.

Tunakuomba Dkt. Tulia ujiuzulu ili kulinda heshima ya utii wa Sheria na Katiba ya Nchi.
 
Naona umeongea ki mihemko zaidi msikilize tena dokta tulia alicho sema

Kumbuka nchi hii ina wanyonge wengi sana na hao mara nyingi hupitia mitandao ya kijamii kuwasilisha shida zao kwa viongozi na kufanyiwa kazi kwa haraka

Mfano hivi ukatili wa watoto mashuleni umeanza kwenye ile video tu jibu hapana bali video imewashawishi viongozi kuchukua hatua za haraka ili kuziba aibu zao

Mawazo yangu acha watu waendelee kufichua ouvu .
 
Naona umeongea ki mihemko zaidi msikilize tena dokta tulia alicho sema

Kumbuka nchi hii ina wanyonge wengi sana na hao mara nyingi hupitia mitandao ya kijamii kuwasilisha shida zao kwa viongozi na kufanyiwa kazi kwa haraka..
Jibu Hoja. Yeye ana shaurika?
 
Jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alionya Watanzania kuacha, ku record na kusambaza matukio ya video hasi na kuzisambaza mitandaoni kwani husababisha taharuki na chuki dhidi ya kundi flani. Waziri Mkuu alishauri njia bora itumike kuripoti tukio...
Japo ni muhimili lakini tambua linabaraka kutoka ⏫
 
Jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alionya Watanzania kuacha, ku record na kusambaza matukio ya video hasi na kuzisambaza mitandaoni kwani husababisha taharuki na chuki dhidi ya kundi fulani. Waziri Mkuu alishauri njia bora itumike kuripoti tukio...
Naunga mkono hoja
 
Hilo la COVID 19 ni zao la mtawala aliyepita hata waliopokea vijiti@ Samia & Tulia wanalimezea mate ni kweli Kodi zetu zinateketea lakini hakuna namna na vile milango ya siasa Huru iko wazi hili suala tufanye lipo ndani ya maridhiano ya kisiasa.

Hoja ya PM iko na mashiko kwa upande mmoja lakini pia haina ya viongozi tulio nao bila msukumo hawawezi toa maamuzi yenye tija na huo msululu wa kufikisha taarifa hadi iwafikie wahusika aisee Jambo lishakuwa limepoa MEDIA tuzitumie kwa kujali utu na maadili ya nchi na si kwa chuki binafsi kama lile la Tabora.

MITANDAO NI SEHEMU SAHIHI YA KUWAFUNGA KAMBA YA UWAJIBIKAJI WATAWALA NA JAMII KWA UJUMLA.
 
Jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alionya Watanzania kuacha, ku record na kusambaza matukio ya video hasi na kuzisambaza mitandaoni kwani husababisha taharuki na chuki dhidi ya kundi fulani. Waziri Mkuu alishauri njia bora itumike kuripoti tukio.

Ila Dkt. Tulia, Spika wa Bunge la Jamhuri kwa kujifanya mjuaji, kiherehere, na mpinzani wa Waziri Mkuu akapinga hoja hiyo ki aina. Ikumbukwe huyu Dkt. Tulia ni Bingwa wa kushauri wengine ila yeye hashauriki.

Nami kama mtanzania, mwenye haki ya kutoa maoni namuomba Dkt. Tulia ajiuzulu nafasi ya Uspika na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kama mharifu wa kawaida kwa kukiuka Sheria na misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwakumbatia COVID-19 kinyume na kiapo chake cha Usipika.

Kupitia mitandao aliyodai iendelee kuripoti matukio ya uovu, yeye ameripotiwa na CHADEMA na Raia wema zaidi ya mara 100. Na mimi naripoti tena. Halima Mdee na Genge lake hawana chama wanachowakilisha Bungeni na hivyo serikali inapoteza mamilioni ya Pesa kulipa Wabunge Hewa ilihali huduma za Maji nchini ni za ovyo. Huu ni muda wa kuwashitaki Viongozi aina ya Tulia, na hasara zote alizosababishia Taifa kwa malipo hewa kupigwa faini yeye binafsi na si ofisi ya Spika.

Tunakuomba Dkt. Tulia ujiuzulu ili kulinda heshima ya utii wa Sheria na Katiba ya Nchi.
Ogopa wanawake wembamba wenye sura ngumu kama kichuguu.. wana roho ngumu mno..
 
ahsante
 
Back
Top Bottom