PreGE2025 Dkt. Walter Rishaeli Nnko achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Kibamba kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Aliyekuwa Mshindi wa Pili MNEC mwaka 2022 Walter Rishaeli Nnko, Leo June 29 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kibamba lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam.
‎
‎Nnko amesema anamshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa chama hicho kwa kazi nzuri ambazo anazifanya katika chama chake.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025​

‎
‎Adha katika hatua nyingine Nnko amewashukuru viongozi wa ngazi mbali mbali ikiwemo kwenye matawi lakini pia katika sehemu ambayo anatokea kwa kila ambacho wanakifanya kwaajili ya Chama Cha Mapinduzi.
‎
‎Chama hicho kimeendelea kuwa imara siku hadi siku hali ambayo inamfanya Nko kuendelea kuwa na imani na wanachama lakini pia wananchi wote wa Jimbo la Kibamba kuwa Kibamba itaendelea kubako CCM.
‎
‎Ikumbukwe Nnko amekuwa ndani ya chama kwa zaidi ya miaka 20 katika nafasi mbali mbali kuanzia kwenye Matawi, Kata, mpaka Wilayani.
‎

Source: Mwanahabari
 
‎View attachment 3388735
Source: Mwanahabari
Huyu angejua angeacha tu aulize Mtemvu shida anayoipata huku.

Tena kuna mahali anachukiwa sana maana anatesa wananchi kwa ubabe wa madaraka.
 
Aliyekuwa Mshindi wa Pili MNEC mwaka 2022 Walter Rishaeli Nnko, Leo June 29 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kibamba lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam.
‎
‎Nnko amesema anamshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa chama hicho kwa kazi nzuri ambazo anazifanya katika chama chake.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025​

‎
‎Adha katika hatua nyingine Nnko amewashukuru viongozi wa ngazi mbali mbali ikiwemo kwenye matawi lakini pia katika sehemu ambayo anatokea kwa kila ambacho wanakifanya kwaajili ya Chama Cha Mapinduzi.
‎
‎Chama hicho kimeendelea kuwa imara siku hadi siku hali ambayo inamfanya Nko kuendelea kuwa na imani na wanachama lakini pia wananchi wote wa Jimbo la Kibamba kuwa Kibamba itaendelea kubako CCM.
‎
‎Ikumbukwe Nnko amekuwa ndani ya chama kwa zaidi ya miaka 20 katika nafasi mbali mbali kuanzia kwenye Matawi, Kata, mpaka Wilayani.
‎View attachment 3388735
Source: Mwanahabari
Safi sana Mshindi wa 'pili' Dr Nnko (PhD)
 
Back
Top Bottom