mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.